Good job SGR

Kwani saa hizi ziko salama? Rejea audit reports za CAG for 5 yrs.Unajua lengo la kuzuia Uhuru wa habari,miradi isiyo tija kiuchumi,kutaka kuuwa upinzani ili taarifa za wizi wa Kodi zao zisisikike
Chadema uelewa wenu ni mdogo sana. CAG huwa anaibua audit queries ambazo huhitaji kupatiwa majibu. Kama zikipata majibu hamna tatizo. Ndio maana mnag'ag'ania tril 1.5 wakati ilishapatiwa majibu na PAC. Sio kila hoja ya CAG ni ufisadi.
 
Chadema uelewa wenu ni mdogo sana. CAG huwa anaibua audit queries ambazo huhitaji kupatiwa majibu. Kama zikipata majibu hamna tatizo. Ndio maana mnag'ag'ania tril 1.5 wakati ilishapatiwa majibu na PAC. Sio kila hoja ya CAG ni ufisadi.
Kwann Sasa mikataba mingi ya manunuzi haiwekwi wazi Hali ni Kodi za wananchi.Kwann kila mwaka kuwe na audit Querres Hali tunajisifu kupambana na ufisadi,wizi na rushwa lkn hakuna uwazi kwenye uendeshaji
 
Sijawahi kuona baba mwenye nyumba kutafuta credit kwamba ati anasomesha watoto, ananunua mahitaji yote ya nyumbani, anajenga nyumba na amenunua gari wakati haya ni majukumu yake ya kawaida kabisa.
Ni wa baba wangapi wanashindwa kutimiza majukumu yao! Vipi na "huyo" baba ambaye hajajenga nyumba yake ya kuishi anabaki kuwa mpangaji daima wakati uwezo anao?
 
Halafu wanasema itakuwa tayari mwaka huu... Impossible
Labda angepewa mchina mda mrefu Sana angeshamaliza kazi.Possible 5 yrs later hizi mega projects zitachukua miaka mingi Sana na ndizo zilikuwa tegemeo la kampeni kwa ccm kutokukamilika Hadi October sijui watakampenia nn,thus tegemeo pekee ni kutumia nguvu na kuanzisha ukawa yao na nccr,cuf na tlp ili kuhadaa jumuia za kimataifa.

Hapa mawakala wa vyama Kama CDM na ACT watachezewa rafu yaani fomu zao hazitopokelewa au watasema zimekosewa kujazwa Kama Yale yale Ila zitapokelewa za nccr,cuf,tlp,na ccm.

Ila hata cdm na act wakiwafanyia figisu wasipite.Upinzani uko pale pale utaendelea kutolewa na hivohivo vyama wanavovifadhili.Ccm wanalo wakiinama mshale wakiinuka mshale yaani hata wakifanikiwa kuzinyima nafasi cdm na act bado wataupata kupitia nccr,cuf,na tlp bungen.

Ccm wangejifunza tu kuishi na upinzani na wautumie positive ili kuumaliza.Lkn kusema wataweza uuwa upinzani wanakimbiza upepo.Ili uuwe upinzani yafaa uuwe umasikini kwanza.
 
Huu mradi wa kuiigiza copy & paste toka China na Japan ni mgumu kweli kweli maana gharama yake kumlazimisha mkandarasi kuweka mbwembwe nyingii zisizo na lazima ili tu matarajio ya CCM Mpya kisiasa yatimie yanaifilisi nchi yetu Tanzania.

Kupitia video hii ya SGR reli Tanzania kulinganisha na mitandao ya reli za nchi zingine zenye uchumi mkubwa za Marekani ya Kaskazini, bara ulaya , Mashariki ya mbali China, Japan, Korea ya Kusini mpaka Oceania hapa CCM Mpya imeamua kutumia fedha nyingi bila ulazima wowote.

Tusubiri hii SGR reli Mpya itakayokuwa na urefu wa kilometa 1,200 kuona lini itakamilika na kama itaweza kuchochea makuzi ya kiuchumi na viwanda ndani ya Tanzania.

Maana tunaona ujenzi wa reli Mpya ukiendelea bila serikali kuanisha migodi mingapi ya makaa ya mawe ya Tanzania, viwanda vingapi vya ndani, mifugo ipi , mazao ya kilimo n.k itasafirishwa toka kona moja ya nchi yetu kwenda pembe nyingine ya Tanzania kuleta ajira rasmi nyingi za kuongeza thamani mazao, madini ya chuma pia upanuzi wa masoko ya ndani n.k

Kumbuka pia kuna masoko makubwa ya Congo, Rwanda,Burundi na Uganda ambayo yatapitisha mizigo yao hapo
 
Kwani hawa jamaa walitaka Tanzania iwe vipi?
Kisijengwe chochote iwe barabara reli miradi ya umeme zahanati mashule chochote kisifanyike halafu mabeberu wachote rasilimali zetu tuwaache tu Kama walivyotutisha kuhusu dhahabu yetu in short hao jamaa Ni mawakala wa mabeberu kazi ni kukwamisha maendeleo ya Tanzania kwa maslahi ya wakubwa zao
 
Kumbuka pia kuna masoko makubwa ya Congo, Rwanda,Burundi na Uganda ambayo yatapitisha mizigo yao hapo

Jamaa sio wa kuwaamini miundo mbinu iaangazie masuala ya ndani kwa 60% maana nchi jirani hazikosi kubadili mwelekeo au machafuko yakwao.

Ndiyo maana miundo mbinu yac reli, barabara, ndege, meli , bandari, viwanja vya ndege msisitizo mkubwa uwe ndani kuleta mapinduzi ktk Maendeleo ya Watuu na.Maendeleo ya Vitu.

Corona miezi miwili imeshatoa mfano kuhusu nachosema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom