Gonorhea Treatment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gonorhea Treatment

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichakoro, Oct 29, 2010.

 1. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,394
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  Salam wakubwa,

  Kuna jamaa yangu hii niki ya 3 kama 4 naona anameza dawa antibiotics (doxy na ingine nimeisahau). Kila nikimuuliza ananiyeyusha ila leo jioni ameniambia ukweli kuwa Gono inamsumbua. alienda hospital akapewa hizo dawa lakini bado inarudia rudia
  wakati amesimama kabisa kamchezo.

  swali Je tutamsaidiaje?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  How to Treat Gonorrhea


  One of the most common sexually transmitted diseases in the world, gonorrhea can cause potentially serious medical complications unless you treat it promptly and properly. It can be asymptomatic, so you should be screened for gonorrhea regularly if you are sexually active.
  Instructions

  1. Treat Gonorrhea
  2. 1
   Recognize that up to 60 percent of gonorrhea cases, in both men and women, do not show any symptoms of infection. Even if you seem perfectly healthy, you must take the initiative and ask your doctor for a gonorrhea screening.
  3. 2
   Know that the most common symptoms of gonorrhea, in both men and women, include difficult or painful urination and genital discharges. The disease has an incubation period of up to 2 weeks, meaning a newly infected person will not experience symptoms until the incubation period has elapsed. Symptoms, when present, usually begin to show within about 5 days after incubation.
  4. 3
   Make an appointment with your physician or at a sexual health clinic to be screened for gonorrhea. There are three primary methods used to detect gonorrhea: direct staining tests for the presence of gonorrhea bacteria, DNA tests for gonorrhea in urine and a bacterial swab from which doctors will attempt to grow the bacteria in a laboratory.
  5. 4
   Realize that your doctor will be unable to tell you immediately whether or not you have gonorrhea. If you are found to be infected with the disease, your doctor will set up another appointment to advise you on its treatment.
  6. 5
   Tell your doctor if you have any known allergies to antibiotic medications. Antibiotics are the primary treatment method used to treat cases of gonorrhea.
  7. 6
   Take the antibiotic medications your doctor prescribes as directed by your pharmacist. Continue to take the medication, if advised, even after symptoms begin to clear up. It is very important that you abstain from sexual activity during your treatment period.
  8. 7
   Submit to re-testing after your antibiotics have been used up. Your doctor will be able to tell you whether or not the infection has cleared up.  Source: How to Treat Gonorrhea | eHow.com  Tips & Warnings


  • People infected with gonorrhea are at increased risk of contracting or passing on the HIV virus. It is essential that you practice safe sex at all times. Abstain from sexual intercourse if you become infected with gonorrhea.
  • Bear in mind that gonorrhea is beginning to show signs of resistance to antibiotics. In particular, tetracycline has been less and less effective against it. The worst-case scenario is that you have contracted a resistant strain and will have to manage rather than cure the disease.


  Read more: How to Treat Gonorrhea | eHow.com How to Treat Gonorrhea | eHow.com


  Kwa Ushauri wangu aende Hospitali kuu kama yupo hapo Dar mwambie aende Hospitali ya Rufaa muhimbili kuna wataalam wa hayo Maradhi ikishindikana mwambie aje hapa tutampa

  Dawa za Mitishamba kujaribu kutumia. mimi mwenyewe katika ujana wangu wakati nina Umri wa miaka 24 niliwahi kushikwa na huo ugonjwa aliniambukiza Mwanamke wangu nikaenda nae

  hospitalini kutibiwa tukapona wote wawili nakumbuka tulipigwa sindano ya PPF kwa muda wa siku tatu mfulululizo nakutumia vidonge sikumbuki ni vidonge vipi tukapona Gono linauma wakati wa kukojowa hutowa usaha mweupe mpe pole sana huyo jamaa.


   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Kisonono


  Kisonono ni maradhi ya zinaa ambayo husababishwa na bakteria zinazofahamika kisayansi kama Neisseria gonorrhoeae. Bakteria hizo hushambulia utandotelezi unaozunguka sehemu za siri.
  Ingawa kwa makisio maambukizi 360,000 ya kisonono huripotiwa kila mwaka nchini Marekani, wataalamu wamekisia kuwa watu karibia 650,000 huambukizwa kwa mwaka.
  Kama ilivyo klamidia, kisonono nayo huwa haionyeshi dalili. Kisonono ikiwepo huwa na dalili kama zile za klamidia ambazo huhusisha mauvimu wakati wa kukojoa na kutokwa kwa maji yanayonuka au usaha katika uke au uume.
  Kisonono huonekana kwa urahisi kwa wanaume ambao hutoa usaha kutoka katika mfereji wa mkojo (urethra). Huanza kidogo, lakini huongezeka na huwa mwingi na kusababisha kusikia haja ya kukojoa mara kwa mara huku kukiwa na maumivu.
  Kisonono ikisambaa na kufikia prostate, mfereji wa mkojo huziba kwa kiasi fulani. Kwa wanawake maambuki hutokea katika urethra, uke au mlango wa uzazi (cervix). Ingawa mwasho unaotokana na majimaji katika uke unaweza kuwa mkubwa, mara nyingi dalili hizi huwa ni chache au hamna kabisa katika hatua za awali.
  Kisonono isiyotibiwa inaweza kusababisha PID kwa wanawake. Watoto wanaozaliwa na mama wenye kisonono huwa na hatari ya kuambukizwa wakati wa kuzaliwa; maambukizo haya yanaweza kusababisha magonjwa ya meno kwa wachanga.
  Uchunguzi wa ugonjwa hufanywa kwa kuchungunza usaha kutoka katika uke au uume au mkojo kwa uwepo wa Neisseria gonorrhoeae.
  Kisonono iliongezeka kwa kiasi kikubwa Marekani mnamo miaka ya 1970 na mwanzoni mwa miaka ya 1980, hadi kukaribia kufikia kiwango cha magonjwa ya mlipuko (epidemic proportions) kwa vijana wanaobalehe na watu wa umri wa kati.
  Kisonono hutibiwa kwa antibaotiki kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na kisonono ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
   
 4. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 133
  Mh. Kicharo, kwa kuwa hujataja dalili alizonazo napenda kwanza ieleweke kuwa Kama ni Gonorrhea (Kisonono) atakuwa anatokwa na usaa kwenye njia ya mkojo, kama si hivyo itakuwa ni STD aina nyingine, km ana dalili hizo basi TIBA SAHIHI nashauri nakili prescription hii akamwonyeshe mganga wake wake amwandikie tiba kwa usahihi.
  kwa kuwa usaa ktk njia ya mkojo inaweza kusababishwa na GONORRHEA au CHLAMYDIA au vyote, basi anatakiwa achanganye dawa mbili kama ifuatavyo,

  1. Inj SPECTINOMYCIN 2g intramuscular single dose (atachomwa matakoni sindano moja)
  2. Tabs AZITHROMYCIN 1g single dose (atakunywa vidonge 8 kwa mpigo kama vitakuwa na kiwango cha 250mg @tembe)
  kwa tiba hii, ndani ya masaa 48 atapata matokeo chanya, unless awe amerogwa au dawa alizopata ni za kuigiza

  NB

  • Tiba hii lazima aandikiwe na daktari/tabibu baada ya kujiridhisha kuwa ni Gonorrhea, Mini kama mwana JF Sitahusika kwa lolote kama mhusika ataamua kujinunulia dawa na kutibiwa na watu wasio na mamlaka na ujuzi wa tiba.
  • Inashauriwa pia afanye kipimo cha kaswende (VDRL test) kwa kuwa anaweza kuwa alipata co-infection (syphilis inachelwa kuonyesha dalili) na pia ni busara kupima VVU sasa na baada ya miezi mitatu kama matokeo ya kwanza yatakuwa ni hasi.
   
 5. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,501
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  Visenti umejitahdi kutoa utaalamu ila mwishoni umenichefua! Kwa dunia ya sasa na mtaalamu kama wewe hupaswi kutoa ushauri wa nadharia kwamba mgonjwa amelogwa! dk. unaamini uchawi??!
   
 6. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 133
   
 7. upele

  upele JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu visenti mimi sioni kama umekosea inaonyesha jamaa ni mlokole(kisima) kwani ni nani asie jua uchawi ee bwana we acha uchawi upo uliza mitaa ya manzese unaweza ukala dawa kumbe ni majambozi kitaani
  Conquest-kitaani usile pilau usiku kipigo eti umekula vizuri:A S angry:
   
 8. N

  Nimrod Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongela dr, kwa kujitolea kuielimisha jamii ktk maswala mhimu kama afya. Ni vema pia ukaweka bayana ni jinsi gani ya kujikinga nayo. Asante, Nimrod, Mwanza
   
 9. S

  Sagao Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi napenda nimshauri angeenda kupima kabla ya kuanza kujichukulia uamuzi wa kumeza dawa, magonjwa ya zinaa mengi yana stage zake, matibabu yanatolewa kwa stage vilevile.
   
 10. M

  Munghiki Senior Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dozi hiyo ya Azthromycin
  una huhakika nayo?are u medical profession?unajua hizo dawa zinakuja kny strenght gni?
  Zipo za 250mg na 500mg kma akimeza 250mg ni vidonge 4 na km ni 500mg ni vidonge 2,pls kwa tiba zaidi nenda hosp kwa hajili ya vipimo.
   
Loading...