MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,715
- 22,752
Hii ngoma iliwahi nitandika mara moja aisee sitasahau.
Wamekukosea nini?hiyo dexa akipata ile ya ng'ombe ni safi sana zamani niliwadunga sana vijana wa hovyo
Noma sana,Acheni kula wanawake wa vilabuni peku nenda hospital sindano tano za nguvu zinakuhusu
😀😀😀Nenda hospitali ndugu na uache kusingizia rafiki yako kumbe niwewe mficha maradhi kifo humuumbua!