Gono inatatuliwa vipi wadau?

Gono inatatuliwa vipi wadau?

Habari wananzengo humu ndani?
Kuna jamaa yangu hapa kitaa kakutana kitu inaitwa gono few weeks ago. karuka ruka leo imembana balaaa!! Hadi anasema akipona harudii Tena kula matunda ya Kati Kati. Kanifuata nimsaidie dawa ipi Ni nzuri kulikutibu tatizo.
Wadau msaada wenu wa mawazo unahitajika kwa kijana mtiifu wa migegedo. Natanguliza [emoji120] on behalf.
Acheni kula wanawake wa vilabuni peku nenda hospital sindano tano za nguvu zinakuhusu
 
Chukua ndulele 2 na pilipili kichaa mbili changanya hakikisha ndulele umezikaktakata pmj na pilipili chukua condom weka huo mchanganyiko kamulia na ndimu kisha valisha abdalla kichwa wazi wakati wa kulala utakuja kunishkuru mkuu
 
Nilitaka nikutongoze kumbe we nawe umepitia mengi hivi..????
Hata kabla hujajitetea nikutakie usiku mwema!
Nani alikwambia mie natongozwa na watoto? Kua kwanza dogo

Cha mwisho sio makosa yako kusoma pure Arts, ila kukosa hata maarifa ya hapa na pale jilaumu mwenyewe.
 
Sawa dada azuma...
 
Waziri Wa Afya Kasema Kuloweka Basi Watu Wavae Mfuko
Takwimu Imeanza Kuongezeka
 
Habari wananzengo humu ndani?
Kuna jamaa yangu hapa kitaa kakutana kitu inaitwa gono few weeks ago. karuka ruka leo imembana balaaa!! Hadi anasema akipona harudii Tena kula matunda ya Kati Kati. Kanifuata nimsaidie dawa ipi Ni nzuri kulikutibu tatizo.
Wadau msaada wenu wa mawazo unahitajika kwa kijana mtiifu wa migegedo. Natanguliza [emoji120] on behalf.
Tumia sindano aina ya salbactum hii ni kwa gono sugu kwisha habari yake!!
 
Sasa Kama umemuambukiza wife ujue taarifa itafika kwa wakwe, bi mkubwa mpaka mashosti wa wife.
Chemsha mzizi wa mpapai dume changanya na mkojo wa zeruzeru. Kunywa bakuli mbili kubwa asubuhi na usiku kwa siku tatu. Wakati wa kutumia dawa ule nyama ya samaki wa baharini tu..
halafu nishukuru baadae.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnamaneno[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom