Gono inatatuliwa vipi wadau?

Gono inatatuliwa vipi wadau?

Kula vyuma ivo,

1.Cefixime 400g 5/7
2. Dexamethasone 5/7
3. Secnidazole 5/7
4. Hyoscine 5/7
 
Sasa Kama umemuambukiza wife ujue taarifa itafika kwa wakwe, bi mkubwa mpaka mashosti wa wife.
Chemsha mzizi wa mpapai dume changanya na mkojo wa zeruzeru. Kunywa bakuli mbili kubwa asubuhi na usiku kwa siku tatu. Wakati wa kutumia dawa ule nyama ya samaki wa baharini tu..
halafu nishukuru baadae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah
 
Habari wananzengo humu ndani?
Kuna jamaa yangu hapa kitaa kakutana kitu inaitwa gono few weeks ago. karuka ruka leo imembana balaaa!! Hadi anasema akipona harudii Tena kula matunda ya Kati Kati. Kanifuata nimsaidie dawa ipi Ni nzuri kulikutibu tatizo.
Wadau msaada wenu wa mawazo unahitajika kwa kijana mtiifu wa migegedo. Natanguliza [emoji120] on behalf.
Niulize Mimi nipo pale nakusikilizia
 
Kwa namna ulivyotuma shukran za kipekee hapo mwshon nachelea kusema kuwa wewe ndo mhusika....hilo halina ujanja...kapive tu powersafe
 
Ngoja nikupe dawa 100% effective

Akanunue azuma zile za 500mg pakti 2 wanauza elf 5 Kila pakti, Kila pakti Ina dawa 3, achukue vidonge vinne (500mg*4=2g) avimeze kwa pamoja, hivo viwili aweke akiba ajali kazini Inaweza kutokea tena asijidanganye kua
Ataacha kula k

Angalizo, akae karibu na choo, azuma nne lazima, narudia tena lazima aharishe na tumbo kuuma, ila kesho yake atakua fresh hataamini! Achana na ujinga wa kunywa sijui dawa Moja Moja siku Tano... Hii ni effective 100% afu Itakua ni wewe najua

Typically overdose ila kama inafanya kazi freshi impact atazoona mbele uko
 
Aisee, nikisoma nyuzi kama hizi, nawaheshimu sana wapenzi wangu kwa kujitunza.
 
Sema umepata Gono jamaa yako Ndio nani

Ww tukupe maua yako ufe tukuzike
 
Ngoja nikupe dawa 100% effective

Akanunue azuma zile za 500mg pakti 2 wanauza elf 5 Kila pakti, Kila pakti Ina dawa 3, achukue vidonge vinne (500mg*4=2g) avimeze kwa pamoja, hivo viwili aweke akiba ajali kazini Inaweza kutokea tena asijidanganye kua
Ataacha kula k

Angalizo, akae karibu na choo, azuma nne lazima, narudia tena lazima aharishe na tumbo kuuma, ila kesho yake atakua fresh hataamini! Achana na ujinga wa kunywa sijui dawa Moja Moja siku Tano... Hii ni effective 100% afu Itakua ni wewe najua

Ww ni dokta wa mahuaji
 
Aisee huo ugonjwa acha tu ngoja niwape kisa changu mara ya kwanza napata gono... Nilitongoza mdada mmoja anangaa kama malaika afu alikua anaringa balaa mtaa mzima, baada ya kulia nae sana siku atanitunuku, aisee nilipagawa nikaingia mpaka chumvini na mechi nikauza... Baada ya kama siku 2 npo home naanza kupata maumivu nikienda kojoa, kipindi hicho sijui chochote, nilikua naishi na mpenz wangu ila alikua kasafiri, Hio siku ya 3 ndo anarudi ila kuamka nikakuta boxer imechafuka natoka na uteute kwenye uume, Nika google zile symptoms aisee google hata haikunizungusha Wala nini, jibu likaja gonorrhea tena wamekoleza maandishi kabisa

Kipindi hicho 2014 Sina account jf ila nilikua nakuja kusoma contents tu, nikazama jf nipate suluhisho, nikakuta mtu nae kapata gono anaomba ushauri, aisee JF watu wanaweza kukuua kwa presha, yaani jamaa nikakuta anatukanwa vibaya wengi wanamwambia na ukimwi lazima kapata, aisee nilipata depression sana siku io, ila Kuna mwamba akatoa ushauri kua kwa mwanaume ni suala la kawaida ajali kazini aende hospital wamtibu, kidogo ndo nikapata ahueni...

Kesho yake nikaenda hospital ya mission ubungo kibangu, nikaeleza wakapima ikawa gono kweli wakaniandika sindano na dawa za kumeza siku 5, sasa anayenichoma sindano alikua sister flani wa katoliki hivi afu ndo freshers bado mbichi kabisa, aisee ujana bana, nikamuomba namba akiwa ananichoma sindano, akacheka balaa akaniambia wewe hujakoma bado? Ila baadae alinipa namba...

Manzi yangu kurudi nikajifanya tumbo linauma wiki nzima sikumgusa mpaka nikaja kupona, yule manzi sikuwahi kumla tena na sikumwambia hata niliona nikaushe tu

Gono nishapata kama mara 4 ivi, ila hizo ni ajali kazini tu na mbususu bado tunakula kama kawaida, ila wanafki hapa tegemea Kila mtu atasema hajawahi kupata
Mi sijawahi kupata migono yenu hiyo, natumia kinga halafu sili mademu ovyo ovyo, demu mmoja tu anatosha.
 
.
Screenshot_20230517-011657.jpg
 
Habari wananzengo humu ndani?

Kuna jamaa yangu hapa kitaa kakutana kitu inaitwa gono few weeks ago. Karuka ruka leo imembana balaaa hadi anasema akipona harudii tena kula matunda ya kati kati. Kanifuata nimsaidie dawa ipi ni nzuri kulikutibu tatizo.

Wadau msaada wenu wa mawazo unahitajika kwa kijana mtiifu wa migegedo. Natanguliza [emoji120] on behalf.
Pole kwa kuugua na gono ila gono linaponeshwa na maombi ya wachungaji au masheikh
 
Back
Top Bottom