Gonjwa la kutisha laikumba China | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gonjwa la kutisha laikumba China

Discussion in 'JF Doctor' started by Kiranja Mkuu, Jul 22, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ugonjwa mpya unaofanana na UKIMWI, wenye kuua kwa haraka umeikumba china.
  Ugonjwa huo husambazwa na majimaji ya mwilini.
  Wachimba chumvi, wazee wa madenda na madekio kazi kwenu.
  ukibisha bofya hapa.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mungu wataalam wanatangaza wamekaribia kufanikiwa kupata dawa lingine linaibuka:A S-danger:
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mrudieni Muumba wenu, vinginevyo mtakufa kama mchwa kwenye frying pan:scared:
   
 4. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukibisha bofya hapa.

  hatuuoni mbona ,na hata hiyo EPIDEMIA SIJAISIKIA IKITANGAZWA,..NAOMBA WEKA LINK AU HABARI YENYEWE
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe hutakufa au?
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  tatizo jamaa nao wanakula kitu duniani bila kujali chochote.
   
Loading...