MUREFU JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,331 Reaction score 353 Feb 17, 2011 #1 WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm
WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm
Mjanga JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,238 Reaction score 325 Feb 17, 2011 #2 kweli kabisa MUREFU, nami nawapa pole sana wana JF pamoja na watanzania wote waliohathirika kwa namna yoyote ile kwa haya mabomu ya G/Mboto!
kweli kabisa MUREFU, nami nawapa pole sana wana JF pamoja na watanzania wote waliohathirika kwa namna yoyote ile kwa haya mabomu ya G/Mboto!
B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 17, 2011 #3 poleni sana watanzania wote
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 Feb 18, 2011 #4 MUREFU said: WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm Click to expand... Mkuu pole zako tunazipokea asante sana lakini hapa si pa nafasi za kazi?
MUREFU said: WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm Click to expand... Mkuu pole zako tunazipokea asante sana lakini hapa si pa nafasi za kazi?
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Feb 18, 2011 #5 Polen sana... lakin huku wakilisha salam za pole sio penyewe mkuu
N Naomiroyz New Member Joined Feb 18, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Feb 18, 2011 #6 tumshukuru maulana kwa yote yaliyosibu na kwa sasa hivi mioyo yetu iingie huruma zaidi , ili tuweze kuwasaidia wenzetu wa gongo la mboto kwa wakati huu mgumu.
tumshukuru maulana kwa yote yaliyosibu na kwa sasa hivi mioyo yetu iingie huruma zaidi , ili tuweze kuwasaidia wenzetu wa gongo la mboto kwa wakati huu mgumu.
N NANDI New Member Joined Aug 19, 2009 Posts 1 Reaction score 0 Feb 19, 2011 #7 Lakini mimi nauliza hivi. wale panya waliyo graduate kwani hawana uwezo wa kupima dalili hizi za mabomu kulipuka?. au wako maabara bado.
Lakini mimi nauliza hivi. wale panya waliyo graduate kwani hawana uwezo wa kupima dalili hizi za mabomu kulipuka?. au wako maabara bado.
M Mzimasana Member Joined Dec 13, 2010 Posts 11 Reaction score 1 Feb 19, 2011 #8 MUREFU said: WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm Click to expand... Its true Murefu, also am very sorry 4 them!
MUREFU said: WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm Click to expand... Its true Murefu, also am very sorry 4 them!