Isiwepo kwa nini? wakati dogo amekiri kuwa ashapitia wanawake wote hapo kijijini (including the wife wa jamaa- sasa nako sijui alikuwa anakwenda kwa mlango wa uwani au) duh
Huyo bawna waande wakampime kwanza HIV,kwani kumaliza kijiji kizima si mchezo bana
"Nimewamaliza wanawake wote hapa kijijini, sasa naona kuwa imefika zamu ya wanaume na kwamba huyu niliyekamatwa nae alikuwa ndio mwanaume wa kwanza kufanya tendo hili," alisema Gongagonga.
Huu mzizi alio kuwa akitumia huyu jamaa nikiupata mimi watu wanao dengua na kulinga linga wangenitambua tena ningekuwa napiga bila sox then natundika mimba tu ngoja nijaribu kumtafuta nikae nae anipe ujuzi huo.
Kweli huyu kijana ahame mji anaweza kulipwa kisasiHata hii itaishia hivyo hivyo. ndo maana watu wanaishia kutafuta 'haki' kwa njia ya 'Mob justice'.
kama mambo yenyewe ndio hayo hata wakimkamata nadhani keshaweka dawa ya kupelekwa polisi moja kwa moja ili kule apate uchochoro wa kutokaMimi binafsi nashangaa hao wanakijiji kumpeleka polisi badala ya kumuwasha moto! Nakumbuka last time alipokamatwa alikiri kutembea na wanawake hapo kijiji na kuwa alifundishwa hizo dawa na mama yake. Tena alikiri mbele ya waandishi wa habari na maelezo yake live tuliyapata kwenye taarifa za habari. Sasa nashangaa leo wamemkamata tena, then wanamkabidhi polisi badala kumkata mapanga na kumchoma moto........!
................ Ila ndo ujiandae kwa kutimiza masharti yake kwanza kabla ya kupewa mzizi huo!! Atakugonga shauri yako
Duh huko kugongwa tena balaaa anitoe seal dah sikubali.
Hakuna ushirikina bana. Uchawi haupo. Wenye kushikilia imani za kishirikina ni wagonjwa wa akili.
Wanaotaka kujua zaidi juu ya huyu jamaa ''GONGA GONGA'' wa Dodoma bofya https://www.jamiiforums.com/jf-loun...liwa-kimuijiza-kama-hujafikwa-kaa-chonjo.html
Huyu jamaa wangemchukua na kumtunza. Kisha wakampa majina ya mafisadi wa EPA na Richmond akawalawiti ingekuwa safi sana tena anawaendea kwa zamu.