'Gongagonga' afumwa akimlawiti mme wa mtu

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
21,771
39,552
POLISI mkoani Dodoma inamshikilia kijana mmoja wa umri wa miaka 17 kwa tuhuma za kumlawiti mwanamume mwenzake kwa njia za kishirikina.

Kijana huyo mkazi wa Chali, Isanga aliyejulikana kwa jina la Maneno Ngo'nda na ambaye ni maarufu kama ‘gonga gonga", alikamatwa majira ya saa 6:00 usiku kwenye kijiji hicho baada ya kufumwa akifanya kitedo hicho.

Kamanda wa polisi mkoani hapa, Zelothe Stephen alisema kijana huyo, ambaye aliwahi kukamatwa kwa tuhuma za kuingilia wake za watu kwa njia za kimazingara, anaonekana kuwa na uzoefu wa kazi hiyo.

Kamanda Zelothe alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa na wananchi waliomkuta akimlawiti mwanaume mwenye umri wa miaka 30 (jina limehifadhiwa) wa kijijini hapo.

Zelothe alisema tukio hilo lilitokea wakati mtu huyo alipokuwa amelala na mkewe na kwamba mtuhumiwa alimtoa kitandani na kumshusha chini na kumfanyia kitendo hicho.

Kwa mujibu wa Zelothe baada ya mke wa mtu huyo kuamka na kumkosa mumewe kitandani aliwasha taa na kumkuta mtuhumiwa akiendelea na kitendo hicho ndipo alipopiga kelele kuomba msaada.

Akihojiwa kuhusu tukio hilo mtuhumiwa alisema kuwa alifanya hivyo baada ya kuona amewamaliza wanawake wote wa kijiji hicho.

Alisema anawaingilia kimazingira ya kishirikina bila kujitambua na kufanya nao tendo la ndoa bila wao kujua kitu ambacho alikiri kuwa amekuwa akikifanya mara kwa mara na hivyo wanawake wa hapo kijijini wote aliokuwa akiwapenda alishafanya nao mapenzi.

"Nimewamaliza wanawake wote hapa kijijini, sasa naona kuwa imefika zamu ya wanaume na kwamba huyu niliyekamatwa nae alikuwa ndio mwanaume wa kwanza kufanya tendo hili," alisema Gongagonga.

Kamanda huyo alisema katika kesi ya awali mtuhumiwa aliachiwa huru kutokana na kukosekana kwa ushahidi wa kuthibitisha kuwa alimuingilia bila ridhaa mwanamke mmoja kijijini hapo kwa kutumia njia ya kishirikina.

CHANZO: Mwananchi

Kijana huyo mkazi wa Chali, Isanga aliyejulikana kwa jina la Maneno Ngonda na ambaye ni maarufu kama ‘gonga gonga”, alikamatwa majira ya saa 6:00 usuiku kwenye kijiji hicho baada ya kufumwa akifanya kitedo hicho.

http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=14800

Huyu mtuhumiwa firauni bin baradhuli ana undugu na Zawadi Ngoda, yule mdada mujahidina wa JF?

NB: Ni swali tu wadau msianzishe topic juu ya topic.
 
maadili yanaendelea kuporomoka na ushirikina inabidi uondoke vile vile ni muhimu kutokomeza ujinga na kuelimisha watu madhara ya vitendo kama huyu gongagonga haswa vijijini!
 
tatizo kubawa la nchi hii ni ushirikina,,,,,,,,,,,,nchi iko kama imelaaniwa vile?
 
hao watu waliomkamata saa 6 usiku walifuata nini huko chumbani kwa mtu aliyekuwa amelala na mkewe?
 
think kwamba huyo mtu anakuja dar,anakuwa house boy wako???
anawapitia wote wewe,na mke wako na wanao kila siku.
or anasoma shule na wanao.

ilikuwepo kesi ya aina hii mzumbe mwaka jana.
 
Mimi siyo mtaalamu wa mambo ya ushirikina,lakini,ni ushirikina gani unawezesha jambo kama hilo kutokea. Sijawahi kusikia hata siku moja. Huyo mwanume labda alikuwa ni feki tu,anajidai ameoa kumbe mwongo,mnafiki tu.
 
Inamaana jamaa alimegwa mbele ya mke wake? Kwanini huyu mwendawazimu asingemmega tu dem wake?
 
Inamaana jamaa alimegwa mbele ya mke wake? Kwanini huyu mwendawazimu asingemmega tu dem wake?

kwa mujibu wa maelezo ni aidha hakuwa 'anampenda' ama alishamalizana nae,imefika zamu ya wanaume sasa
 
hao watu waliomkamata saa 6 usiku walifuata nini huko chumbani kwa mtu aliyekuwa amelala na mkewe?
soma viruri hapo juu kaka, mkewe alishtuka na kukuta jamaa hayupo kitandani, alipowasha taa ndio akakuta jamaa anaendelea kumduu mumewe, then akapiga kelele watu wakaja
 
Tz hii kila kukicha ni vituko. Nakumbuka wakati nasoma Advance shule ya bweni kulikua na kijana mmoja yeye alipenda sana kuwaingilia wanaume wenzake kwa njia hizo wanazoita za kishirikina. Alifanya hivyo kwa vijana wengi sana, bila kukamatwa. Sasa siku aliyokamatwa alikula kichapo vibaya mmoja> Kuna dogo mwingine akawa analala nae kisa eti mchawi mpe mwanao akulele, hawezi kumdhuru.

Huyo kijana kamtia aibu huyo jamaa yaani kumlawiti mbele ya mkewe, sasa hapo sijui hiyo ndoa kama itakua na heshima tena, ukichukulia ni kakijana ka miaka 17 kwa baba wa miaka 30, aibu ilioje hiyo!
 
hao watu waliomkamata saa 6 usiku walifuata nini huko chumbani kwa mtu aliyekuwa amelala na mkewe?

JAmani wife si alipiga kelele za kuomba msaada?

Ila inatisha!! Namfikiria akimaliza Dodoma anasogea Dar................. na si ajabu Dar akaanza na wanaume kwanza!
 
Tz hii kila kukicha ni vituko. Nakumbuka wakati nasoma Advance shule ya bweni kulikua na kijana mmoja yeye alipenda sana kuwaingilia wanaume wenzake kwa njia hizo wanazoita za kishirikina. Alifanya hivyo kwa vijana wengi sana, bila kukamatwa. Sasa siku aliyokamatwa alikula kichapo vibaya mmoja> Kuna dogo mwingine akawa analala nae kisa eti mchawi mpe mwanao akulele, hawezi kumdhuru.

Huyo kijana kamtia aibu huyo jamaa yaani kumlawiti mbele ya mkewe, sasa hapo sijui hiyo ndoa kama itakua na heshima tena, ukichukulia ni kakijana ka miaka 17 kwa baba wa miaka 30, aibu ilioje hiyo!

Isiwepo kwa nini? wakati dogo amekiri kuwa ashapitia wanawake wote hapo kijijini (including the wife wa jamaa- sasa nako sijui alikuwa anakwenda kwa mlango wa uwani au) duh
 
Nae wampe adhabu zinazoendana na 'kishirikina' hakuna kumchelewesha.,.....karne hii analeta ujinga kama huo?najua mahakamani atashinda tu...ushahidi hautakuwepo na alilawitiwa du amedhalilishwa sana...pole zake aisee mamam wee sitaki hata kufukiriaa mbele ya mke wako unapigwa mashine aisee duu.....haya dunia hadaa .........
 
Back
Top Bottom