'Gongagonga' afumwa akimlawiti mme wa mtu

Isiwepo kwa nini? wakati dogo amekiri kuwa ashapitia wanawake wote hapo kijijini (including the wife wa jamaa- sasa nako sijui alikuwa anakwenda kwa mlango wa uwani au) duh

Hujatulia mj1! Amesema amewaingilia kimwili wanawake wote ALIOWAPENDA. Labda mke wa huyu mjamaa hakupendwa ndio maana akaamua am-express mme wake. Akija Dar, Fidel80 and co. watakimbia mji.
 
Hii njia angekuwa anatumia kumega wake za watu mimba zisizo tarajiwa zingekuwa nyingi sana.
 
"Nimewamaliza wanawake wote hapa kijijini, sasa naona kuwa imefika zamu ya wanaume na kwamba huyu niliyekamatwa nae alikuwa ndio mwanaume wa kwanza kufanya tendo hili," alisema Gongagonga.

Huu mzizi alio kuwa akitumia huyu jamaa nikiupata mimi watu wanao dengua na kulinga linga wangenitambua tena ningekuwa napiga bila sox then natundika mimba tu ngoja nijaribu kumtafuta nikae nae anipe ujuzi huo.
 
Huu mzizi alio kuwa akitumia huyu jamaa nikiupata mimi watu wanao dengua na kulinga linga wangenitambua tena ningekuwa napiga bila sox then natundika mimba tu ngoja nijaribu kumtafuta nikae nae anipe ujuzi huo.

................ Ila ndo ujiandae kwa kutimiza masharti yake kwanza kabla ya kupewa mzizi huo!! Atakugonga shauri yako
 
ningeipata mie kazi yangu ingekuwa kuwapitia MAFISADI wote kuanzia na FISADI MKUU nikishawapitia nawaambia sikuachii hadi uwache UFISADI
 
Mimi binafsi nashangaa hao wanakijiji kumpeleka polisi badala ya kumuwasha moto! Nakumbuka last time alipokamatwa alikiri kutembea na wanawake hapo kijiji na kuwa alifundishwa hizo dawa na mama yake. Tena alikiri mbele ya waandishi wa habari na maelezo yake live tuliyapata kwenye taarifa za habari. Sasa nashangaa leo wamemkamata tena, then wanamkabidhi polisi badala kumkata mapanga na kumchoma moto........!
 
Mimi binafsi nashangaa hao wanakijiji kumpeleka polisi badala ya kumuwasha moto! Nakumbuka last time alipokamatwa alikiri kutembea na wanawake hapo kijiji na kuwa alifundishwa hizo dawa na mama yake. Tena alikiri mbele ya waandishi wa habari na maelezo yake live tuliyapata kwenye taarifa za habari. Sasa nashangaa leo wamemkamata tena, then wanamkabidhi polisi badala kumkata mapanga na kumchoma moto........!
kama mambo yenyewe ndio hayo hata wakimkamata nadhani keshaweka dawa ya kupelekwa polisi moja kwa moja ili kule apate uchochoro wa kutoka
 
Walitakiwa wamwache jamaa iliyefanyiwa hivyo nae amgonge kwanza kabla ya kumpeleka polisi.
 
Hicho kijiji kinakosa Upako inamaana kijiji kizima hamna hata mmoja aliyempokea bwana(KUOKOKA)?
Maana kama angalikuwapo japo mmoja katu asingeliweza kuwaingilia wakina mama wote, yule aliyeokoka angelipona.
CHALLENGE:
Rmshauri tafadhali hiki kijiji kinahitaji msaada wako wa hali na mali plz go and HELP them
 
Huyu jamaa wangemchukua na kumtunza. Kisha wakampa majina ya mafisadi wa EPA na Richmond akawalawiti ingekuwa safi sana tena anawaendea kwa zamu.
 
mmmh uongo mtupu kama kweli basi na aje kwangu nimuoneshe jinsi gani wanashughulikiwa wakati kama hawa

nna wasi wasi ni mgonjwa wa akili na polisi wameshaona, kwa hio wameona hakuna haja yakupoteza muda
 
Hii Kali. Gongagonga anatakiwa Dar pia, halafu aanze na wale viwembe wa wake za watu.
 
Hakuna ushirikina bana. Uchawi haupo. Wenye kushikilia imani za kishirikina ni wagonjwa wa akili.

Ndio matatizo ya kukulia mjini unashindwa hata kujua kuwa upande mwingine wa maisha vijijini upoje.

Kama huamini kuwa kuna ushirikina naomba uende Iringa. Baada ya kufika iringa mjini pitiliza mpaka karibia na kijiji cha Tanangozi. Hapo utakuta makaburi ambayo waliotaka kujenga barabara walishindwa kuyahamisha. Pia Tanesco walishindwa kupitisha umeme juu yake wakalazimika kuvusha nguzo ng'ambo ya pili ya barabara kwa mita kama mia tano halafu wakarudisha nguzo baada ya kuyapita makaburi. Baada ya kushuhudia ukamuulize meneja wa Tanesco Iringa au meneja wa Tanroad ni kitu gani kiliwafanya washindwekuyahamisha makaburi au kuipitisha umeme juu yake.

La pili ni experience ya rafiki yangu.

Alikuwa mwalimu wa kawaida shule ya msingi wilayani Sumbawanga. Baada ya kugraduate akapewa ukuu wa shule wilayani Mpanda. Alipokwenda kuliport alipokelewa na mwalimu aliyekuwa anakaimu ile nafasi. Usiku alikwenda kupumzika kama kawa. Alipoamuka asubuhi alijikuta amenyolewa nywere sehemu nne kuchwani na ghafla alianza kuugua. alikimbizwa hospitali lakini haikusadia ikabidi apelekwe kwa waganga wa kienyeji. Alipopata nafuu alirudi nyumbani na kwa taarifa alizopewa ni kuwa yule aliyekuwa anakaimu ukuu wa shule ndiye amechukizwa na kitendo cha yeye kunyang'angw'a madaraka hivyo ameapa kuwa hiyo nafasi hakuna atakaye ichukua.

Cha ajabu, rafiki yangu nywere hazioti yale maeneo aliyopwenyuliwa.

Hivyo ndugu jaribu kuielewa vizuri jamii yako ya mjini na ya vijijini ndipo utaweza kuja na suruhu za kuwakomboa kimaisha.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom