Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Baada ya ofa ya Jaza ujazwe ya Tigo nimeona na Mimi nije na ya kwangu kwenye mlango wangu wa ghetto nimeandika Gonga ugongwe naona usumbufu wa mama mwenye NYUMBA umepungua*
Umeandika mlangoni au umeweka bango tu?? Angalia usije pewa notice kuchafua mlango wa bosi!!*Baada ya ofa ya Jaza ujazwe ya Tigo nimeona na Mimi nije na ya kwangu kwenye mlango wangu wa ghetto nimeandika Gonga ugongwe naona usumbufu wa mama mwenye NYUMBA umepungua*