Tatizo wanga sana na asili ya mtanzania hakuna wachawi. Ndio maana tunasema wakigoma sio watanzania kwasababu ya uchawi waoWanasema Raia wa Kigoma ni Warundi lakini hawasemi Sokwe wa kigoma ni Wa-burundi.
---Hawasemi Wakurya wa Mara ni wakenya.
---Hawasemi Wajaluo wa Mara ni Wakenya.
---Hawasemi Wamasai wa Arusha ni Wakenya.
---Hawasemi Wanyakyusa wa Mbeya ni Wamalawi.
---Hawasemi Wahaya wa Kagera ni Waganda.
---Hawasemi Wamakonde na Wayao wa Mtwara ni Wa- msumbiji.
Ni kigoma tuu ndiyo Mkoa ambao Raia wake na na mkoa ambao unaendelea kudhulumiwa.
Ukisema umetoka Kigoma, hasa Idara ya Immigration utapata msukosuko kama kwamba wewe ni mkimbizi.
Kasulu hoyee?? Una maanisha nini,kwamba gombe ipo kasulu?Ukifika Gombe Huwezi Kuamini, Ni Kuzuri Sana Na Hao Sokwe Wanakupeleka Mpaka Unaonana Nao Mita Chache
Wao Wakiendelea Na Majukumu Yao, Utaonyweshwa Namna Wananyolala. Yule Mama Alikwenda Gombe Akiwa Binti Mpaka Amezeeka Huko Akifanya Hiyo Kazi
Usafiri Ndiyo Wa Ziwa Tanganyika Lakini Gombe Kuzuri Sana
Kasulu Hoyee!!! Wabhonye Viligwa
Hao sokwe wamekufa? Na je wanamjua huyo mbibi?Jane Goodall lazma awajue Alifika Gombe akiwa binti na kwasasa ni Ajuza kabisaa.
Tuliishi Gombe miaka ya tisini
Wale Sokwe aliwapa mpaka majina mtafiti huyu
Nawakumbuka wachache kama vile Wilk na familia yake , Goblin na familia yake na Gremhin [emoji118] sikumbuki vizur kama nimepatia spelling. Maana ni siku nyingi na nilikuwa bado mtoto
Kumbe Tanga, Sumbawanga, Bagamoyo na Pemba siyo Watanzania pia.Tatizo wanga sana na asili ya mtanzania hakuna wachawi. Ndio maana tunasema wakigoma sio watanzania kwasababu ya uchawi wao
ukweli unauma eeh
Tatizo wanga sana na asili ya mtanzania hakuna wachawi. Ndio maana tunasema wakigoma sio watanzania kwasababu ya uchawi wao
Waha kwa kimbelele Kigoma mpo peke yenu? ikitajwa Kigoma tu utasikia Waha hivi waha vileChimpanzee.
Huyo mama ni Muha wa Kasulu.
Ipo Kigoma MkoaniKasulu hoyee?? Una maanisha nini,kwamba gombe ipo kasulu?
Usafiri Lazima Upite Kwenye MajiUsafiri wa kwenda huko ndo changamoto ,hasa sisi tunaogopa kusafiri kwenye maji tunapata changamoto sana kufika gombe
Wenyewe wanasema ni mk 16 tu ,ila ukisafiri ukakutana na mawimbi makali utajuta
Pia kuna safari ya kupanda milima kuwafuata sokwe walipo
Siyo Kiherehere Ni KujipendekezaWaha kwa kimbelele Kigoma mpo peke yenu? ikitajwa Kigoma tu utasikia Waha hivi waha vile
Haipo kigoma mkoani mkuu,ipo wilaya nyingine kabisa,next time uwe unauliza kwanza si kujitia ujuajiIpo Kigoma Mkoani
Waha Hoyee
Nauliza Wakati Gombe Mimi Nimefika HukoHaipo kigoma mkoani mkuu,ipo wilaya nyingine kabisa,next time uwe unauliza kwanza si kujitia ujuaji
Ukiangalia hata sumbawanga wachawi wengi asiliyao kigoma. Hata ukija bagamoyo ni wenyeasili ya kigoma ndio wanga sasa wameanza isambaza uchawiwao hadi mara na sehem nyingine za Tanzania.Watu wa kigoma wamekulogea Bibi yako???, Sumbawanga, Gambushi na huko Mwanza, Mara nk wanakoua Vikongwe kwa sababu za uchawi ni Kigoma???--- umepata kusikia Mtu kauawa kwa Mapanga kigoma kwasababu ya Uchawi??, umepata kusikia Albino kauawa au kakatwa viungo huko Kigoma???. Wachawi ni nyinyi mwaisingizia Kigoma.
Muwe wakweli, mmezidi kuidhulumu Kigoma bila sababu.
Nimekaa Kasulu Miaka Tele Hayo Mengine ChumviUkiangalia hata sumbawanga wachawi wengi asiliyao kigoma. Hata ukija bagamoyo ni wenyeasili ya kigoma ndio wanga sasa wameanza isambaza uchawiwao hadi mara na sehem nyingine za Tanzania.
Ukiangalia hata sumbawanga wachawi wengi asiliyao kigoma. Hata ukija bagamoyo ni wenyeasili ya kigoma ndio wanga sasa wameanza isambaza uchawiwao hadi mara na sehem nyingine za Tanzania.
Waha kwa kimbelele Kigoma mpo peke yenu? ikitajwa Kigoma tu utasikia Waha hivi waha vile
Huyu mama alifall in love na Chimp's