iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 369
- 253
Beki hazikabi - siyo rizikiKuna golikipa na kuna beki tatu sijui ndio nini....
Wengine mara wanasema beki hazikabi sijui maana yake nini
wanamaanisha kuwa ni mdada wa nyumbani aliyeolewa,hana kazi ya kufanya ya kumuingizia kipato zaid ya kutegemea kwa bwana/mumeMara nyingi nikiwa nimekaa maskani kuna kauli naisikia sana anaweza kupita mwanamke ukasikia watu wanaambiana chini chini uyo mwanamke anayepita hapo golikipa katoka kuna yeyote anayejua maana ya msemo huo?
beki hazikabi wanamaanisha ni mlaini, anat...mbeka sana hata forwad akiwa galasa kama Lukaku wa Mau U, ni mwendo wa kupiga Hat-tric tuKuna golikipa na kuna beki tatu sijui ndio nini....
Wengine mara wanasema beki hazikabi sijui maana yake nini
Duuuh.Waulize hao ulio wasikia...!!
ππππ unajua bana jirani.Kuna golikipa na kuna beki tatu sijui ndio nini....
Wengine mara wanasema beki hazikabi sijui maana yake nini
Tumewaza sawa Mkuu.wanamaanisha kuwa ni mdada wa nyumbani aliyeolewa,hana kazi ya kufanya ya kumuingizia kipato zaid ya kutegemea kwa bwana/mume
πππππ DuuhInatumika pia kma mtu akili zake sio nzur ndio tunasema kipa katoka.