Goliath vs Daudi mchungaji wa kondoo!

Goliath vs Daudi mchungaji wa kondoo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,528
Kila nikimsoma Daudi alivyodharaulika lakini Akaja kuliokoa taifa lake na Uonezi wa Goliath najikuta nauheshimu Upako wa Mungu wa mbinguni

Daudi alikuwa na kombeo.( Manati) tu

Naangalia mzozo wa kiongozi wa nchi Jirani na Kanisa,. nimeogopa sana

Credit: Citizen tv

Mlale Unono 😀
 
Kila nikimsoma Daudi alivyodharaulika lakini Akaja kuliokoa taifa lake na Uonezi wa Goliath najikuta nauheshimu Upako wa Mungu wa mbinguni

Daudi alikuwa na kombeo.( Manati) tu
Hizi hadithi za kufikirika tu ili kuweka hadithi za biblia ziendane muktadha wa Imani.

Lkn kwa dunia ya leo, raia hawezi kupambana na askari mwenye silaha. .
 
Back
Top Bottom