Goli ni Goli; la Mpendazoe nalo Goli!

Goli kamfunga nani...?

kama ndio analogous yako...basi ni very low..!!!

Real change haiwezi kuletwa kwa Zima moto....!!!

Wale wote walioleta Mabadiliko walikuwa wameweka "Milestone" za Kufikia ktk Mabadiliko....!!! sio hawa "Materialist na Ma-oppurtunist"....!!!
 

- Mkuu chuma heshima yako sana ndugu yangu, na with all due respect hakukuwa na sababu ya kejeli kwa analysis ya member mwenzako, wewe ni kuweka analysis yako tuachie sisi wengine tuamue ya nani ni bora kati yako na Mkulu Mwanakijiji.

- Mpira wanaoufaidi vizuri sana ni watazamaji, sio wachezaji na ndugu yangu heshima ni kitu cha bure sana, the CCJ's subject ndio hasa mustakabali na masilahi ya taifa either yapo au hayapo!

Respect.


FMEs!
 
Naamini akina Mpendazoe wengine bado wapo CCM, wanasubiri wavute masurufu yao kisha ndo watimke. Mpendazoe ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwa kutanguliza maslahi ya Taifa kuliko yake peke yake. Tusubiri Mh. Seleli, kadai ahami ng'o CCM lakini najua hiyo ni lugha ya wanasiasa tu. Jina lake likipigwa chini kwenye kura ya maoni au kuondolewa na vikao husika nina hakika atachomoka tu.
 
Mbahati mbaya nimekosa kadi ya chama.
Lakini cha moto watakiona
 


Mwanakijiji una vijembe ndugu yangu ha ha!Yani ngoma iwekwe kati,saafi sana nimeikubali,halafu inarelate sana na wabongo na hivyo message sent,bao ni bao tu,hata la kisigino,refarii kwa heshima na taadhima anaelekeza ngoma kati!sikujua unapenda soka neways,coz sijawahi kukuona kwenye jukwaa la michezo......Chandimu uliupiga mkuu?Ha ha!
 

hujawaona waliofungwa wanavyojaribu kufafanua kwa jinsi gani siyo "goli"?
 

wenzako wanaonifahamu tangu enzi hizo wananitambua kwa jina la "nyanda"... mtu aliyeweka rekodi ya "kufuta penati" hadi kuambiwa "ameazimwa"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…