Ni upuuzi sana kulaumu wanawake wakati kila mmoja wenu anajukumu la kujua atakalo na kujilinda, hutaki mimba vaa kondomu, mjue uliye naye ujue mzunguko wake msaidiane kuhesabu na kulindana, hutaki yote hayo unataka mteremko na kavu kavu kubali kulea mapenzi ni ya watu wawili, jifunzeni kuwa responsible wanaume, hakuna mahusiano ya kulindwa na mmoja, mfuliwe, mpikiwe, mridhishwe, nyie kazi yenu kutazama wazuri wengine na kulalamika ndio maana mahusiano Tanzania ni uchafu mtupu, kila mmoja ndani ya mahusiano ni lazima awajibike hakuna aliye bora zaidi