Goli la mkono: Mimba ili uolewe

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Waasisi wa goli la mkono nadhani ni akina mama. ....iweje hatujakubaliana kuzaa ushike mimba
 
Chukua mimba yako mwache aendelee na maisha yake....
 
Lowasa mabadiliko
wenje mabadiliko
mwakiaba mabadiliko
 
We si ulisema huonji? Hiyo mimba imeingiaje sasa?
 
Nilipigwa goli la mkono hadi leo sijaongea kama vile siumii ila....
 
Kuna watu wakikurupuka tu,wanapost
 
Kondom huzijui...umeuza mechi mwenyewe watu wamebeba point Tatu...
Nanaa kuna shughuli zingine hata kondomu inaitika, ila anakwambia usijali baby ni safe leo. Anyway lyf linasonga ila tusilaumiane
 
Last edited by a moderator:
Nanaa kuna shughuli zingine hata kondomu inaitika, ila anakwambia usijali baby ni safe leo. Anyway lyf linasonga ila tusilaumiane

Hahahaa pole lakini, ndo ukubwa huo.
 
Last edited by a moderator:
sio kweli zamani wazazi walikuwa wanalazimisha ndoa iwapo binti au kijana kampa mimba ili kuondoa aibu na kwa familia ya kiume wasipoteze damu..mila nyingine haziruhusu kuiacha damu yao..kwani inaleta laana..ila sio siku hizi..wadada wengi wameona ndio njia ya kumbana mwanaume ili waolewe wanasahau vijana wengi wa siku hizi ni .com...habanwi na mila anymore..na mbaya zaidi hawaelewi ndoa hainganishwi na watoto..ni mapenzi ya dhati kati ya me na ke..watoto huja na hukua na kuicha ndoa ya wazazi inaendelea.. hii ni moja ya sababu ya kuvunjika kwa ndoa nyingi hapa bongo...wadada acheni kulazimisha ndoa..uaolewa kesho mwenzio kakuchoka sababu hakukupenda wewe kama wewe..ni damu yake ndo alitaka isipoteee
 
Enendeni mkazaliane na kuijaza dunia. Zaeni tu kwa wingi iwe halali au batili tunataka watoto duniani siyo unaishi tu hauzai
 
Akina dada ni waumini wa kavu balaaa kama ulikuwa hujui. ..

Basi ndo usitulalamike kuwa mimba imebebwa bila ridhaa, au kafanye operesheni ndogo ukate hiyo mirija ili uendelee kushirikiana na waumini wenzio wa kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…