Golgen Mpoleee back with a bang!

Za shule mbaya no jf. Mithi u 2.

Nsio shule hiyo.... wengine tulisoma kipindi ambacho hakuna JF... ilikuwa tukirudi nyumbani sana sana ni hadithi za kina mjuba/siti au michezo ya Jangala
 
Uwiii, nahitaji kitu cha kuneutralize akili
Huyu binti karudi???

Ila nilimiss mbwembwe zako.
Hujambo?
 
Uwiii, nahitaji kitu cha kuneutralize akili
Huyu binti karudi???

Ila nilimiss mbwembwe zako.
Hujambo?

Dada haka katoto kanafaa kuwa ka-wifi kako au unaonaje?
 
weweeee karibu GM tatizo tumeshaoa ningekutoa out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…