flora msoffe amefanyaje? Naye ana id nyingi?Hawa member wa jf wananichanganya sana. naomba tuwaundie kamati ndogo ya uchunguzi ili tujue nani ni nani. vile vile kuna na Id ya Lizzy ina matatizo pia. Id nyingine zenye kuntia shaka kwa mwandiko ni The boss na Invisible. ile ya flora msofee dukuduku lishaisha.hahahaaa...!!
na mwita25 na amwit52 huna wasiwasi nao?
Aisee! Itakuwa ya mwezi kama sio miezi manake ni mda sana.alipigwa ban.
sio kwamba nilikomfuzi nilifanya kusudi ili wajue niko on line, ehe niambie nimekudanganya nini?hivi yule aliyejisahau akajitaja kwenye id tofauti kisha wakaziunganisha ni wewe au flora? munanikonfuzi. mkuu vipi mbona kimya. halafu ulinidanganya.
alipigwa ban.
Sasa kinachokuchanganya hapo ni kitu gani?sio kwamba ina matatizo sema inanchanganya yaani inanikonfuzi. ile Lizzy na LizzyII.
naona umeamua kukuzia jina lako kwa id yang. Hapo simpo uschanikiwe!
Hadth hadth!!
Alikuwepo memba mmoja kwa jina la Mpoleeee. Alikua ni mzuri na mpoleee mpaka had mjinga. Akawa anaonewa san na memba wa kale hasa ma supa sta! Mpoleee kwa hasira akabadilsha pw ngum akainakil kweny karatas akatafuna. Huyoooo kiroho kika mdunda akaomba msamaha kwa cookie akaja kama Golden Mpoleeee. Mzuri na mpoleeee ila sio mjinga.