Golden Mpoleee toka ndoto ya Ubunge hadi uhalisia wa kua DAKTARI!

Shehe Yahya hayupo
Sasa hatujapata direction ya mwaka huu.

Labda tusubiri bunge la bajeti litatueleza kipaumbele cha taifa ni nini mwaka huu
Kama ni miundombinu, elimu, afya au bilicanas
Ndoto mbona zimekuwia nyingi mwaka huu?!
 
Mambo vp sisy wangu wa ukwe'ee!
Naona umeamua kutoka kivingine,
Usijali familia nzima tuko nyuma yako u hv our all sapoti dia.
 
Back
Top Bottom