Gold price rises to all-time high | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gold price rises to all-time high

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BAK, Oct 6, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,550
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Gold price rises to all-time high

  BBC News Online

  [​IMG] Gold prices have been rising for eight years

  The price of gold has hit a new all-time high of $1,036.60 an ounce after a decline in the dollar boosted the attractiveness of metals to investors. Copper prices also rose above $6,000 a tonne, as the weaker dollar made metals cheaper for non-US investors.
  The dollar fell after a newspaper report - later denied - said that Gulf nations wished to replace the greenback as the main oil currency.
  The rise in metal prices lifted shares in mining firms.
  Analysts said concern about the possibility of higher inflation in the US as its economy recovers was another factor in lowing the price of the dollar, further boosting the appeal of gold.
  Dollar influence
  In afternoon trading on the UK's main FTSE 100 share index, the top three price rises were all mining stocks, with Kazakhmys up 7%, followed by Antofagasta (6%), and Vedanta (5.5%).
  Commodities analyst Robin Bhar, said the fall in the value of the dollar had given metal prices a welcome boost.
  "The dollar has been the biggest driver," he said. "It's helped to support flagging prices."
  The last time the price of spot gold hit a new high was in March 2008, when it reached $1,032.80 an ounce. Gold has now risen in value for each of the past eight years.
  Analysts said the price of gold could rise still further towards the end of the year if the dollar remained weak.
  The price of gold is also typically strong in the October to December period because of the higher demand for jewellery in the run-up to Christmas.
  Other precious metals also saw their prices rise on Tuesday, with silver up 3% to $17.11 an ounce, and platinum adding 0.9% to $1,305 an ounce. The price of copper was up 2.4% to $6,060 a tonne.
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  And being one of the largest producers of gold in the world what does the country gain in the raise of price of Gold, tunaishia watoto kukaa darasani kwenye vumbi, hospital dhofu bin hali, barabara duni, umaskini wa hali ya juu. Inaleta hasira sana. Ndugu yangu Bubu ataka kusema Nadhani mwaka huu lazima utasema tuu, kwa jinsi mambo yalivyo, pole sana.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,550
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Naam huo ndiyo ukweli bado tunapata 3% tuliyosaini mwaka 2000 wakati huo ounce moja ya dhahabu ilikuwa $230 (kama sikosei) bei imepanda karibu mara tano katika soko la dunia lakini Watanzania hatuoni mafanikio yoyote kutokana na mikataba hiyo, bali wanaofaidika ni Barrick na Shareholders wao. Inasikitisha sana.
   
 4. K

  Koba JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...nimechoka,acheni wajichotee tuu!
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kabisa hatunufaiki kabisa na dhahabu tuliyo nayo!
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Tuliambiwa kuwa kuna mchakato madhubuti wa kupitia upya mikataba yote ya madini, hivi hii imefilia wapi mnaweza kunikumbusha jamani, siku zinakwenda rasilimali ndio hivyo zinachotwa na hakuna kinachoendelea.At the bottom line wakati mwingine nakaa na kutafakari hivyo wanaofaidika na madini wanaweza kweli kukubali mabadiliko ya nchi kwa mfano wananchi wachague chama kingine badala ya hiki cha sasa watakubali matokeo kweli maana wahenga walisema jini likujualo halikuli likakwisha.
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Tufanye nini ili tunufaike na dhahabu tuliyonayo???? Serikali nadhani haina mpango wa kurekebisha sheria za madini hasa kwenye kipato, labda tuweke serikali nyingine ifikapo mwaka kesho.
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Naona hapo Tanzania wimbo wa recession hakuna...!
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tayari...Mchakato umeishaingizwa kwenye vitendo.Ni juzi juzi kwenye mkutano wa badget hapa kwa office nilimsikia manager akilalamika kwa sasa exception zimefuta...na wanalipa 5% kutoka kwenye 3%.So mazingira ya utafutaji tanzania yako magumu.Ingawa bado sijamuona kukata tamaa...na tanznai ili tufunge company tugawane kilichopo.
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tumefanywa wajinga kwa muda mrefu sasa inabidi tupige kelele wajue wao waliosaini hiyo mikataba ndo wajinga...sijui walihongwa
   
 11. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Hii ni royalty au tip? Hakutaki tip sisi hatuuzi bia kwenye hoteli, wao wanachukua madini yetu we need more than that, kama kamati ilisema walipe kiasi hichobasi hawakuwa serious. Pili hawahitaji kulalamika kwa kulipa kodi kwani kodi ni lazima walipe mbona kwao wamalipautokana na faida wanayoipata hapa. Tuangalia kiuhalisia tunastahili nini 5% ni peanuts.
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Ukichoka wewe wajukuu wako watalala kwenye mitaro na huko watalazimika kulipa kodi. Usichoke fanya kitu kwa faida ya kizazi kijacho. Usipofanya hivyo Historia itakuhukumu, ukiulizwa na wajukuu zako Babu ulifanya nini wakati unyonyaji huu unaendelea na kukaa kimya watakushangaa na kukupa nickname ambayo itakufanya utajute.
   
Loading...