Kweli MkuuMkuu hii signature yako inalandana na plans zangu. Seriously we need to learn how to solve our issues rather than fighting each other. Kwnye mahusioano kila mmoja akijielewa na kutambua nafasi ya mwenzake katika nyumba hamtakaa mfarakane hata siku moja. Lakini mmoja akijifanya ni kiburi na mbabe mwisho wake sio mzuri kabisa
Asante mkuuEmu, download nyimbo ya byan adam kwanza comming back to you upate ladha , anyway ni maamuzi mazur sna muombe mungu yawe marudiano mema
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuAma kweli timbwili ulolipata limekutia adabu. Asante kujitambua.
Nafahamu ilo mkuu na naomba yasitokee hayoHongera Mangi.....ila nadhani ulikuwa hujui unataka nini.........then mlipoachana ndio umejua unachokitaka......kuwa makini sana...coz unachokita kinaweza kuwa kimetekwa na wanaojua kutengeneza wakitakacho....
Asante kwa ushauri mkuuHongera kwa maamuzi mazuri. Maana umezunguka bucha zote umekuta nyama ni ileile. Mungu akuongoze kufukia lengo hilo. Ila pima kwanza afya zenu kwa pamoja.
Kweli kabisaTabia zenu mmezirekebisha sasa na una amini zitaendana?
Asante sanaKila la heri kama naye yupo tayari kurudi kwako na kama hajapata anayempenda kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu. Mungu aniepushie mbali tuHauumwi kweli wewe? Maana mara nyingi haya huwa mnayakumbuka mkiwa mnataka wa kuwauguza.