Going back to my wife

Unarudia matapishi? Ni bora kuanza na mtu mpya. Mimi nikiachana na mtu na nikajua ameshatembea na mwingine siwezi kurudiana nae hata iweje, nitakua nakumbuka then najisikia vibaya sasa shida yote hiyo ya nini? Wadada wamejaaa kibao wabichi ni ww tu hujaweza kuwatyming
 
I wish lingekuingia ukajua Machungu ya Kule Pia
Mkuu hii signature yako inalandana na plans zangu. Seriously we need to learn how to solve our issues rather than fighting each other. Kwnye mahusioano kila mmoja akijielewa na kutambua nafasi ya mwenzake katika nyumba hamtakaa mfarakane hata siku moja. Lakini mmoja akijifanya ni kiburi na mbabe mwisho wake sio mzuri kabisa
 
Usirudi na ngoma tu, wanawake wengi sana yamekuta, Mme mnatengana baada ya miaka anarudi unampokea kumbe kakuletea waya.
 
Mkuu baada
ya kuachana na huyu nilipata mwingine lakini nilichokutana nacho nimegundua kuwa mke wangu alikuwa ni almas
 
Mkuu baada

ya kuachana na huyu nilipata mwingine lakini nilichokutana nacho nimegundua kuwa mke wangu alikuwa ni almas
Mkiishaachana ni ngumu sna kuja kuishi nae kwa amani mara chache sana watu waliioachana wanaweza kurudina na kuendelea
 
Usirudi na ngoma tu, wanawake wengi sana yamekuta, Mme mnatengana baada ya miaka anarudi unampokea kumbe kakuletea waya.
Hapana mkuu. Siwezi kummua mama wa mtoto wangu. Mungu anisaidie
 
Vizuri ndugu. Umefanya maamuzi sahihi.
 
Kama huyo mtu alikua anakupenda asingekubali kipindi mnaachana angengangania. Usishangae mbeleni mkashindwa tena koz udhaifu umeonekana
Ndio maana naomba Mungu atuongoze na kutupatia hekima pia alafu pia umri nao unachangia
 
Hujaishiwa kweli? Maana ndo zenu baada ya kuzitumbua unarudi kufugwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…