Godzilla vs Gnako

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Ni wasanii wanaoweza kurap na kuimba...wameshaimba nyimbo zao,wamefnya chorus kwny nyimbo zikang'aa pia.baadhi ya hit single zao ni;
GNAKO
1.Sichezi mbali
2.Headache
3.Juma ikangaa
4.original
5.Arosto

GODZILLA
1.king zillah
2.get out of my way
3.Salasala
4.Get high
5.First class

Walishawahi kufanya hit ya pamoja inaitwa NISOME.

nani mkali kati yao??
 
Godzila muziki wake tokea mwanzo ni wakutambaa na flow za fifte tu asa huyo anayemwiga ameshafulia.G nako yuko vizuri sana.na kwenye chorus hua hakosei ni kama Nate dogg wa bongo
 
Ni wasanii wanaoweza kurap na kuimba...wameshaimba nyimbo zao,wamefnya chorus kwny nyimbo zikang'aa pia.baadhi ya hit single zao ni;
GNAKO
1.Sichezi mbali
2.Headache
3.Juma ikangaa
4.original
5.Arosto

GODZILLA
1.king zillah
2.get out of my way
3.Salasala
4.Get high
5.First class

Walishawahi kufanya hit ya pamoja inaitwa NISOME.

nani mkali kati yao??
Wote Ni Chorus maker Wazuri, nilidhani ungetofautisha nani Mkali wa Chorus nani Mkali wa Nyimbo kwa ujumla!
Binafsi Godzila kwenye kuchana namkubari kwa aina ya style yake!
G Nako kwenye Chorus, G anatengeneza Chorus kwa style ya tofauti japo hana sauti kama kina Ben Paul, always nasema G hujua kufanya Chorus za ki Hip hop!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom