Godoro dodoma linauzwa bei sawa na bure

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,438
Reaction score
2,929
Kama kichwa cha habar hapo juu

Godoro ni jipya kabisa limetumika hata miezi miwil haijafika urefu ni 6*6 upana ni inch 10

Jipya nilinunua 280000 /= kwa sasa nauza 200000\= tu

Napatikana dar kwa wanaohitaji watakuja pm

Ahsanteni........
 
Mkuu ni la shata au la kawaida!??
 
Kama kichwa cha habar hapo juu

Godoro ni jipya kabisa limetumika hata miezi miwil haijafika urefu ni 6*6 upana ni inch 10

Jipya nilinunua 280000 /= kwa sasa nauza 200000\= tu

Napatikana dar kwa wanaohitaji watakuja pm

Ahsanteni........
Una ushahidi wowote wa kulinunua miezi miwili iliyopita>>
 
Kama kichwa cha habar hapo juu

Godoro ni jipya kabisa limetumika hata miezi miwil haijafika urefu ni 6*6 upana ni inch 10

Jipya nilinunua 280000 /= kwa sasa nauza 200000\= tu

Napatikana dar kwa wanaohitaji watakuja pm

Ahsanteni........
Kaka kuna 150k hapa nikutapule na mimi nilale pakunoga kaka tafadhari kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…