Godoro Dodoma linauzwa bei chee

Godoro Dodoma linauzwa bei chee

2009 mbona juzi sana, magodoro dodoma mengi yanayotumiwa na watu wengi yana miaka almost 20 na zaidi na bado yapo poa, ila haya ya sasa naona si imara kama ya zamani, ila kwa wazalishaji wa magodoro bora basi magodoro dodoma ni namba moja.

Hakika umenielewa ndio maana nimesema hakuna godoro fake kama Dodoma kuanzia kiwanda kimeungua ndio basi tena
 
mkuu nipe bei ya dodoma 6*6 inchi 10 na 12 pia comfy

Nauza godoro dodoma feet 5x6 lime2mika wik2 bei 100,000 pia ukitaka magodoro mapya kabisa ya feet zote mfano feet 2.5,3,3.5,4,4.5,5na 6 pia godoro nchi 10 na 12 yanaptikan-nipo mwananyamala DaR
 
Tanfoam ya 5x6 kwa inchi 10 bei gani?
Nitapata lililo original kwa dar?
 
ukitoka ulipo uje useme godoro inch10 5kwa6 inaenda kwa ngapi
 
Back
Top Bottom