Nauza godoro dodoma feet 5x6 lime2mika wik2 bei 100,000 pia ukitaka magodoro mapya kabisa ya feet zote mfano feet 2.5,3,3.5,4,4.5,5na 6 pia godoro nchi 10 na 12 yanaptikan-nipo mwananyamala Dar 0764616353
Nauza godoro dodoma feet 5x6 lime2mika wik2 bei 100,000 pia ukitaka magodoro mapya kabisa ya feet zote mfano feet 2.5,3,3.5,4,4.5,5na 6 pia godoro nchi 10 na 12 yanaptikan-nipo mwananyamala DaR
5×6=100000???? Nahisi utakuwa umeyaiba sehemu.
Nauza godoro dodoma feet 5x6 lime2mika wik2 bei 100,000 pia ukitaka magodoro mapya kabisa ya feet zote mfano feet 2.5,3,3.5,4,4.5,5na 6 pia godoro nchi 10 na 12 yanaptikan-nipo mwananyamala DaR
Hakuna godoro fake kama godoro Dodoma :angry:
we utakuwa huyajui magodoro
we utakuwa huyajui magodoro
Hakika hayajui vizuri hayo magodoro.
Kweli kabisa.. Mm godoro dodoma nnalotumia nmenunua mwaka 2009 5 kwa 6 inch 8 ni burudani na mpaka leo lipo kama jipya.. Wakati godoro nlokuwa nalo before nlitumia miaka miwili lakawa linakunjika kama mkeka