fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,831
- 7,644
Huyu ni mwalimu wa hisabati,pia ni mchambuzi wa football na ni ndugu yake na yule muro alikuwa msemaji wa yanga,namhusudu sana
ndio huyu ni mdogo jerry ni mkubwaAiseeee! Kumbe ni ndugu na Jerry Muro
ni kweliSauti pia zinafanan
ndio jerry mkubwa huyu mdogoAiseeee! Kumbe ni ndugu na Jerry Muro
yes pia mzuri sana mrangi huyoMimi mzee wa takwimu. Much respect. Mbwaduke