PostGE2025 Godlisten Malisa: Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kaskazini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini, Wakili Samwel Welwel maeneo ya Kibaoni Arusha, akiwa anaelekea kijijini kwao Karatu. Amepelekwa kituo cha polisi Karatu na taarifa awali zinaeleza kuwa polisi wanamhoji kwa sababu "wanahisi" anataka kutoroka nchini. Viongozi wa Chadema wanafuatilia suala hilo kwa karibu ili haki iweze kutendeka.!

Pia Soma: Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kaskazini: Nitawashughulikia wote wasiomkubali Lissu
1762947062040.png
 
Wajinga sana ,wanahisi? bado tu wanaendelea kuvizia viongozi wa CHADEMA?
 
CHADEMA wanapitia wakati mgumu sana kipindi hichi, viongozi wao kila kukicha wanakamatwa tuuu!

Kesi zenye azina miguu wala kichwa!
=================
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Mhe. Wakili Msomi Samwel Welwel, amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita katika eneo la Kibaoni wakati akielekea Karatu. Kwa sasa amepelekwa katika Kituo cha Polisi Karatu. Brenda Rupia

photo_2025-11-13_20-40-17.jpg
 
Kumbe bado tunaendelea tulipoishia🥺🥺🥺🥺
 
CHADEMA wanapitia wakati mgumu sana kipindi hichi, viongozi wao kila kukicha wanakamatwa tuuu!

Kesi zenye azina miguu wala kichwa!
=================
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Mhe. Wakili Msomi Samwel Welwel, amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita katika eneo la Kibaoni wakati akielekea Karatu. Kwa sasa amepelekwa katika Kituo cha Polisi Karatu. Brenda Rupia

View attachment 3501389
chadema inasakamwa as if wao ndio chanzo, seem like watawala wanatafuta wa kumuangushia jumba bovu
 
Back
Top Bottom