Godfrey Zambi- Mbozi East (CCM)

Ontuzu

Senior Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
120
Reaction score
120
Nimevutiwa sana na maneno ya kishujaa ya huyu Mbunge dhidi ya chama chake, anasema:

"At this rate i will not be surprised if CCM was defeated, and victory will only be delivered by divine intervention"

.....Source: The Citizen 19 April (front page)
 
Kayasemea wapi hayo maneno?
 
Ameweka sahihi kwa ajili ya kufanya mabadiliko, ili ajitofautishe na mafisadi wengine?! kama bado, yote aliyosema itakuwa ni unafiki tu.
 
The Citizen, 19 April, 2012 (Front Page)
 
Anajua fika kuwa Devil intervention ndio ilimuingiza bungeni kwa njia ya kuchakachua kwa hiyo huu ndo muhula wake wa mwisho 2015 hakatizi
 
:target:huyu ameanza kusoma alama za nyakati anatakiwa kukutana na makamanda wamtoe hofu kidogo achane na magamba!
 
Huyu nu mnafiki namba moja kabisa, usiawaamini ccm kabisa, mbona kwenye saini hayumo? Mnafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…