Godfrey Mgimwa amerudi London jimboni haonekani

Godfrey Mgimwa amerudi London jimboni haonekani

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
wana jamvi taarifa toka kalenga zinasema wana kalenga wana lia mbunge wao haonekani?tuna taarifa kuwa yupo england
 
Huyu mbunge alishindwa kuthibitisha kwamba yeye si raia wa Uingereza kwa kutuonyesha visa ya nchi za Schengen wakati Uingereza si mojawapo ya nchi za Schengen. Kwa kushindwa kututhibitishia hilo, mpaka leo ninaamini kwamba huyu mtu ana uraia wa Uingereza.

 
Hao ndo wabunge ambao CCM inawataka maana watasaidia kuleta hela za kigeni kwenye majimbo yetu,,,,,,,!!!!
 
Huyu mbunge alishindwa kuthibitisha kwamba yeye si raia wa Uingereza kwa kutuonyesha visa ya nchi za Schengen wakati Uingereza si mojawapo ya nchi za Schengen. Kwa kushindwa kututhibitishia hilo, mpaka leo ninaamini kwamba huyu mtu ana uraia wa Uingereza.

LAKINI WATZ WAKILISHWA PILAU ZA CCM NA POMBE ZA KIENYEJI HASA ULANZI KWA WANA IRINGA UNADHANI INAKUAJE?...Wanagawa shahada zao za kupigia kura kwa just mlo mmoja wa siku. Ni sawa na wana IGUNGA waliodanganywa eti yule mwarabu ni MTZ wakalishwa pilau tu kipindi chote cha ubunge wake kawaachia jimbo lao baada ya kupiga dili za maana kwa umoja wao na kikwete na lowasa. HIKI NI KICHWA CHA MWENDA WAZIMU SIO TU KWENYE MICHEZO BALI KTK KILA NYANJA
 
Kama alivyosema Prof. Paramagambe Kabudi kuwa kila kizazi kina ujinga na makosa yake lakini wengi hawakutegemea kama wananchi hasa wa Kalenga wangelifanya kosa/ujinga wa kumchagua huyu kijana kuwa mbunge wao kwa wakati huu. Sema ndio ilishatokea!
 
Uongo na hadithi za kubuni zinadharirisha na zitaimaliza Chadema, Kijana yupo kwenye ratiba ya kuaapishwa na bunge la Jamhuri nyie mnsota yupo nje ya nchi!
 
Uongo na hadithi za kubuni zinadharirisha na zitaimaliza Chadema, Kijana yupo kwenye ratiba na anajiandaa kuaapishwa na bunge la Jamhuri nyie mnaota yupo nje ya nchi!
 
Huwenda anashughuli maalumu huko baadaye atarejea punguzeni munkari
 
Uongo na hadithi za kubuni zinadharirisha na zitaimaliza Chadema, Kijana yupo kwenye ratiba na anajiandaa kuaapishwa na bunge la Jamhuri nyie mnaota yupo nje ya nchi!

Wee gamba hivi unaelewa hiyo post inamaanisha nini? Watu wanamuulizia mbunge wao maana jimboni haonekani wewe unakurupuka kudai yupo kwenye ratiba na anajiandaa kuapishwa! Kwahiyo yeye alichaguliwa ili akae kwenye ratiba au jimboni? Hivi mtu akiwepo kwenye ratiba ya kuapishwa hiyo ndio uthibitisho tosha kuwa yupo jimboni? Huoni kuwa wewe ni mwendawazimu unayeulizwa A lakini unajibu B? Kwa akili hizi si ajabu Tz inakuwa ni nchi ya mwisho kwa kuwa na mataahira wengi wenye IQ ndogo kupita wote duniani!
 
Nilikuwa msimamizi mkuu wa kituo cha kupigia kura uchaguz mdogo kalega machi16.nataman kutoa siri nilizoziona je kiapo cha kutunza siri kina expire lini!
 
Ndesamburo yuko ulaya na usa anatibiwa kila siku...moshi mjini wamechoka kabisa.
 
Back
Top Bottom