Godfather vs Justine Campos

1.Dbn Nyts ft. Zinhle Ngidi & Trademark-Shumaya
ni moja kati ya nyimbo bora zaidi pale south 2015
2.Uhuru
3.Oskido
4.Bucie
5.Busiswa
6.Casper Vyovest

hiyo ni list kwa uchache ya wasanii wakubwa waliofanya video na jamaa....haya nipe list yako ya wasanii wakubwa wa south waliofanya kazi na Goodfather kama hawatokuwa wapopo tu
 
GODFATHER sio kampuni ya south africa!
 
Haaaaaah bucie wimbo Gan na cassper hajawahi fanya Kazi na justin Campos ila kafanya Kazi na nicky campos bhn embu jipange n bora ungeniambia space studio pictures ndo kampuni inayoogoza kufanya Kazi na wasanii wengi wakubwa wa s.a godfather anafanya Kazi nyingi na wanigeria tena wasanii wakubwa n kwny list ya madirector wakubwa godfather kamkaisha justin
 
Clarence Peter weka mbali na watoto usimlinganishe na upuuzi pllllllz tena nliskia anaish US jamaa .
Haaaah huyo Clarence bei yake tu ni shida ipo juu sana nilishangaa mwaka Jana channel o walimuweka namba mbili namba moja wakamuweka sesan
 
Mapopo ndo akina nan hao mkuu
 
kwa mtazamo wangu naona Campos ni zaidi, naonaga kama video nyingi za Godfather zinafanana color tofauti na Campos anayechange kila video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…