Godbless Lema: Tanzania ina viongozi wakuu wastaafu walioko hai,wana sikia kelele za utekaji /uonevu lakini wameamua kukaa kimya

Tanzania kiongozi aliyeko madarakani sasa hajawahi kukekemea uovu wakati wao wakiwa na madaraka ya juu, Escrow alikwepo Bungeni alikuwa kimya, EPA alikwepo kimya, Richmond alikwepo mle mjengoni kimya! Sasa leo wakimkemea atawakumbusha tu historia wakati wao wakiwa viongozi wa juu
 
Viongozi karibu wote kupitia ccm si wasafi... Huo ujasi wa kumkemea mwingine utatoka wapi?...
 
Back
Top Bottom