Siyo mimi ni waafrica .N wewe ndio uliyemuingiza au nani?
Trump alishakaa rumande kisongo? Trump ni lofa kama Lema hadi wanywa viroba mumufanishe?Mbunge wa milele wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amebadilishiwa jina na wafuasi wake , sasa anaitwa Donald Trump .
Hayo yamejulikana jana wakati alipokuwa anawaaga wafuasi wake alipokuwa anatoka mahakamani kuelekea gereza la kisongo .
Chanzo - Nipashe .
Swali - kwanini wana Arusha wanamfananisha Lema na Trump ?