Godbless Lema sasa aitwa Trump

Godbless Lema sasa aitwa Trump

Hizi dalili za kuchanganyikiwa. Hamna mweusi mwenye akili anataka kuitwa Trump au mlikuwa hamfuatilia kampeni zake? JF ikiendelea hivi kuna watu tutakimbia jukwaa la siasa.
Chanzo cha Taarifa hii ni gazeti la nipashe , hata hivyo kuondoka kwako jf unadhani kuna hata mtu atajua ? Wengi wetu tutajua labda umekufa tu .
 
CHADEMA wamemuachia gunia la misumari alibebe yeye mwenyewe na wananchi wa Arusha wameamua wakae mbali.
sio kweli,wananchi wa Arusha wako bega kwa bega na Mbunge wao Lema,ukitaka kuamini fika mahakamani siku Lema anapelekwa. na kwa taarifa tu,siku lema atatoka magereza itakuwa ni sherehe Arusha nzima unaweza kufananisha siku hiyo na siku aliyokuja Cliton Tanzania na hilo ndio maana wanazidi kumshikilia wanasahau kwamba kadri wanavyozidi kumshikilia ndivyo wanavyozidi kumuandalia wingi wa watu kumpokea
 
Muwe mnaleta vitu vya maana.

Mbunge wa milele wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amebadilishiwa jina na wafuasi wake , sasa anaitwa Donald Trump .

Hayo yamejulikana jana wakati alipokuwa anawaaga wafuasi wake alipokuwa anatoka mahakamani kuelekea gereza la kisongo .

Chanzo - Nipashe .

Swali - kwanini wana Arusha wanamfananisha Lema na Trump ?
 
Trumph gani anapenda Kisongo kama nini, sijui anamwenzie humu akikaa nje anakuwa anammiss? ?

Ingekuwa Jamii Forum ipo chini yangu, ningeweka mtihani wa kupima watu akili. Tizama ulichopost then jipime kama ungepita huo mtihani..
 
ndio ni kweli hakika wanafanana kwa kuwa wote wanakojoa wamesimama, wote wana dushele
 
NO COMPARISON.....................................................................................
 
Mimi nina shauri Lema asihangaike na dhamana. Huu ni mpangp wa Mungu ambaye ni Mungu wa makusudi maalumu
 
Back
Top Bottom