Godbless Lema sasa aitwa Trump

Godbless Lema sasa aitwa Trump

Trump ni bilionea kwa dola, huyo mwingine anategema salary slip ya mjengoni. Pakinuna anapiga miayo kama Mimi tu!
 
Mbunge wa milele wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amebadilishiwa jina na wafuasi wake , sasa anaitwa Donald Trump .

Hayo yamejulikana jana wakati alipokuwa anawaaga wafuasi wake alipokuwa anatoka mahakamani kuelekea gereza la kisongo .

Chanzo - Nipashe .

Swali - kwanini wana Arusha wanamfananisha Lema na Trump ?
Nimeipenda hii.Wenye chuki wajinyonge.
 
Taarifa zinadokeza kwamba Mh Lema ameingizwa kwenye kundi la WAPIGANIA UHURU MAARUFU WA AFRICA , yaani sasa yuko kundi moja na Nyerere na Kwame Nkruma.
Unaelekea kuchanganyikiwa boss! Utamlinganisha vipi mtuhuyu mwepesi na mwana falsafa Kwame?
 
Lema wa watu wanyonge anayosema ni Yale anayoyaamini na wanaotaka kuyasikia ni wanyonge wazee wa ndiooo yanawakera trump naye kabeba walala hoikibao kama lema
 
Huyu kijana ni baraka kwa nchi yetu .
 
Mbunge wa milele wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amebadilishiwa jina na wafuasi wake , sasa anaitwa Donald Trump .

Hayo yamejulikana jana wakati alipokuwa anawaaga wafuasi wake alipokuwa anatoka mahakamani kuelekea gereza la kisongo .

Chanzo - Nipashe .

Swali - kwanini wana Arusha wanamfananisha Lema na Trump ?
Nimeelewa kwanini Wana Arusha mmempa Lema jina jipya .
 
Trump-business tycoon, hivi mtoa mada unamjua unamjua trump, labda mfananishe na mtoto wa trump aitwaye "ivanka trump".
 
Mbunge wa milele wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amebadilishiwa jina na wafuasi wake , sasa anaitwa Donald Trump .

Hayo yamejulikana jana wakati alipokuwa anawaaga wafuasi wake alipokuwa anatoka mahakamani kuelekea gereza la kisongo .

Chanzo - Nipashe .

Swali - kwanini wana Arusha wanamfananisha Lema na Trump ?
Hizi dalili za kuchanganyikiwa. Hamna mweusi mwenye akili anataka kuitwa Trump au mlikuwa hamfuatilia kampeni zake? JF ikiendelea hivi kuna watu tutakimbia jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom