Godbless Lema ndiye mbunge maarufu zaidi kwa sasa nchini ingawa hayupo bungeni

Na sio hivyo tu,bali ipo siku ataibuka shujaa na kila mtu atam-admire na atakuwa gumzo.

Hata Mandela alipita njia hizi hizi kabla dunia nzima haijamkubali na kumtambua.
Acheni uzembe wa fikra, maana inaonekana we haufikirii, yaan Mandela umfananishe na Huyo mshamba?
 
Anaandika Edo Kumwembe
......Godbless Lema ndiye Mbunge maarufu zaidi kwa sasa nchini ingawa hayupo bungeni.....Inahitaji akili kuucheza mchezo wa siasa.......
Umaarufu usio na tija... kila kitu kupinga na kuropoka ili ucheze na media tu... Inatakiwa ajue kwa nini kachaguliwa sio matusi tu kila muda... Afanye alichotumwa na aige kauli mbiu ya [HASHTAG]#HAPA[/HASHTAG] KAZI TU itamsaidia kiutendaji.
 
Godbless kama jina lake lilivyo "GOD BLESS " sio mtu wa kawaida.
Siku zote anachozungumza kinatoka KIFUANI (moyoni) pake na hana chembe ya uoga.
Hizo ni sifa zake kuu.
Ukishakuwa na sifa za kuzungumza kitu kinachotoka moyoni mwako bila uoga, moja kwa moja mtu huyo anakuwa ameuweka mbali sana UNAFIKI..!!
Na mark my words... atawapa shida sana utawala huu kwasababu awamu hii haitaki kabisa kukosolewa na kuambiwa ukweli.
Huyo ndie Lema.
 
Back
Top Bottom