Godbless Lema ndiye mbunge maarufu zaidi kwa sasa nchini ingawa hayupo bungeni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
68,288
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
68,288 2,000
Anaandika Edo Kumwembe
......Godbless Lema ndiye Mbunge maarufu zaidi kwa sasa nchini ingawa hayupo bungeni.....Inahitaji akili kuucheza mchezo wa siasa.......
Wanazuoni wengi wanamlinganisha na Mitume , huku wengine wakimuweka kundi moja na Wapigania uhuru maarufu wa kiafrica kama Nelson Mandela , Kwame Nkrumah na Mwl Nyerere .
 

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,536
Points
2,000

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,536 2,000
Criminals ni hao wanaogawana hongo za mamilioni.
Hayo ni maneno ambayo nyumbu wakimezeshwa na Mr makengeza, huwa wanayameza mazimamazima bila hata kuchunguza au kuchambua, apeleke ushahidi takukuru, sio kupiga blah blah na kubaki mnaishi kwa matukio, by the way,mmeshamuuliza hesabu za matumizi ya ruzuku?
 

Gullam

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
5,200
Points
2,000

Gullam

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
5,200 2,000
Nijitundike kwa sababu ya criminal! Hebu toka hukoo!
Criminal? Sijakuelewa!! Hivi Mfalme Herode alivyoota ndoto na kuwasimulia watumishi wake, ilikuwa criminal? Na je Yusuph alivyoisimulia ile ndoto ilikuwa Criminal, wewe kajipange uje na hoja sio vihoja. Cku zote Mungu akitaka kuuangusha ufalme anaufitinisha, weka akiba maneno yangu. ( Wazungu sana msemo wao Power no permanent).
 

Forum statistics

Threads 1,390,777
Members 528,266
Posts 34,061,571
Top