Wewe una tatizo la kufikiri kama chadema walio wengiMpaka sasa hujaona nani anazama kati ya Lema na Magufuli!
Ni utekelezaji sahihi wa majukumu tu mpaka anakua Irrelevant!Kwani, kupambana na Lema 'wapinzani' ndiyo kazi ya mkuu wa mkoa 'serikali'?
Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwishoMwigulu,kauli yako Singida sio ya bahati mbaya.Unasema kuna watu wanapanga mauaji ili kuichafua taswira ya Nchi, maelekezo uliyo nayo ni kumbambikia Mh Mbowe kesi ya Mauaji pamoja na Viongozi wengine, huu Mpango wenu mnaonekana bado mnao.
Hivi Dr Kipilimba bado anahubiri Injili ?
Chadema waacha kulalamikaMwigulu,kauli yako Singida sio ya bahati mbaya.Unasema kuna watu wanapanga mauaji ili kuichafua taswira ya Nchi, maelekezo uliyo nayo ni kumbambikia Mh Mbowe kesi ya Mauaji pamoja na Viongozi wengine, huu Mpango wenu mnaonekana bado mnao.
Hivi Dr Kipilimba bado anahubiri Injili ?
Kumbuka hata shetani ana injili yake lakini..Kwa mujibu wa maandiko matakatifu , hakuna mwanaccm atakayeona ufalme wa Mungu , ni kichekesho na kejeli ya hali ya juu sana kama kweli Kapilimba aliwahi kuhubiri injili .
Wagaratia 5:16-21Maandiko ya kitabu gani?
Kama humpendi Mungu basi bora umwogope!!Sio watu wanapanga mipango ya kuichafua serikali bali chadeeemmmmaaaa mmekua mkifanya matukio mengi ya kuichafua serikali na kama huyo mwenyekiti wenu ana husika afungwe tu kwan yeye nani??
Jela unaijuaaa... Au unaisikia tu!!Hivi ni mimi tuu naona hilo au ni kweli Lema sku hizi kawa mtulivu sana, fujo zote ziniaishia twitter
Kama unacheka wenzio wanapofungwa kwa haitia za bandia na ukiyajua hayo basi huna akiriHahahaha
Ila magu sio mtu mwema nadhani hata Sugu akitoka atakuwa mtulivu. Japo jamaa hawafanyii poa ila huwa ina nicheksha sana
ThibitishaSio watu wanapanga mipango ya kuichafua serikali bali chadeeemmmmaaaa mmekua mkifanya matukio mengi ya kuichafua serikali na kama huyo mwenyekiti wenu ana husika afungwe tu kwan yeye nani??
Mr Jiwe anacheza ngoma ya Slim bila kujijua, mwenzake anataka na tz iwe kama rwanda!!!Kwa sasa hakuna tena umoja wa kitaifa, kilichopo kwa sasa ni juhudi kubwa za kuendelea kulipasua taifa kupitia kiongozi mkuu wa nchi rais Magufuli pamoja na wasaidizi wake kutokana na matamko yao majukwaani
Kumbuka Simba akishaanza kuwa nyama ya binadamu haachi kamwe!!Jamani fungeni hawa wahuni ili tutulie
eti hawa ndo wakupewa nchi fikra kama hizi ndo zituendeshee nchiKwa mujibu wa maandiko matakatifu , hakuna mwanaccm atakayeona ufalme wa Mungu , ni kichekesho na kejeli ya hali ya juu sana kama kweli Kapilimba aliwahi kuhubiri injili .
Mwigulu,kauli yako Singida sio ya bahati mbaya.Unasema kuna watu wanapanga mauaji ili kuichafua taswira ya Nchi, maelekezo uliyo nayo ni kumbambikia Mh Mbowe kesi ya Mauaji pamoja na Viongozi wengine, huu Mpango wenu mnaonekana bado mnao.
Hivi Dr Kipilimba bado anahubiri Injili ?
Ww ndie uje kuthibitisha kama huusiki 100% unadhani nimekurupuka??Kama humpendi Mungu basi bora umwogope!!
Unaweza kutoa ushahidi usio wa mashaka juu ya Hoja yako?