Unko T
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 200
- 266
Namfuatilia "Raisi wa Arusha" akiongelea maendeleo ya Jiji la Arusha.
Stendi kuu ya mabasi kuhamia Moshono karibuni. Kuna viwanja viliuzwa kinyemela alivirudisha na halmashauri ikaviuza kwa uwazi na kutengeneza zaidi ya Bilioni Moja.
Barabara ya Krekoni itawekwa lami. Wafanyabiashara wavumilie kidogo.
Kuondolewa kwa Proper Tax na parking system kwa watu binafsi imekwamisha mambo. Kuondolewa parking system kwa watu binafsi ni kuua sekta binafsi, mpaka leo vitabu havijaandaliwa kwani hawakuwa wamejiaandaa. Serikali kuu badoo haijaanza kukusanya proper tax.
Kodi kubwa ya VAT kwenye utalii mpaka sasa Arusha imekosa watalii 10000. Kwani watalii hujipanga miaka mitatu nyuma, huwezi kumzidishia pesa ataondoka. Hotel kubwa Arusha zinafungwa, wamiliki wanatamani kuzifunga au kupangisha na kugeuza Hospitali.
Raisi amebana sana na kukosesha pumzi, wafanya biashara wanaondoa pesa bank. Biashara ya madini ya Tanzanite imeshuka kwa 30%. Watu wamekimbia na fedha na hazipo katika mzunguko.
Mfumo kubadilishwa, unahitaji busara sana laasivyo maisha yataendelea kuwa magumu
Mkuu wa Wilaya amekuja kwa kasi sana, Lema anasema atamdhibiti. Anaongea vitu vya ajabu. Anahamisha greda likafanye kazi nyumbani kwake na sio kuchonga lami maeneo ya wananchi. Mrisho Gambo anaahidi wananchi vitu asivyoweza kutekeleza.
Mkuu wa Wilaya ameweka X nyumba mia mbili maeneo ya Murieti bila kufuata utaratibu. Mkuu wa Wilaya achukue kero na alete ofisi ya Mbunge. Tuna muagiza apeleke kero kwa Meya na kwa Mbunge. Amepewa gari na anapenda kutembea, sasa aende pole pole Arusha ni Chadema, tukiamua kumdhibiti, atajuta kwani tumewadhibiti wengine wengi waliongilia halmashauri.
Arusha imetulia tunafanya kazi, anataka kurudisha madalali kwenye maduka kitu ambacho tumefanya kazi kubwa kuwaondoa.
Anakwenda sokoni anaahidi kufunga maji kwa kila mtu kitu ambacho sio kweli. Anawaahidi wananchi atawapa pesa zake za mfukoni kufanya maendeleo kitu ambacho ni siasa za kizamani.
World Bank imetupa pesa billion 486 na ndani ya miaka 2 maeneo ya Murieti na kwingineko tatizo la maji litapungua kwa 80%. Sasa mkuu wa Wilaya pesa atakayotoa itatoka wapi? Ametoka Uvinza, hii ni Arusha atulie. Afanye kazi kama alivyo agizwa aache mazingaombwe.