Godbless Lema kuunguruma Wasafi Media

Godbless Lema kuunguruma Wasafi Media

Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.

Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.

Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.

Wote mnakaribishwa.
Ndio Maana jana Mwigulu kamtaja😅😅
 
Si ndi
Ajitahidi kuongelea vitu practical vinavyogusa wananchi aache kauli za ukakasi.
si ndio kama ushauri wa kufungua madhamba ya Mpunga ekari 100, 000 kwenye ardhi iajiri vijana wengi?? Hau haiwezekani?
 
Back
Top Bottom