Godbless Lema kuunguruma Wasafi Media

Godbless Lema kuunguruma Wasafi Media

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,635
Reaction score
272,430
Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.

Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.

Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.

Wote mnakaribishwa.
 
Screen Shot 2023-04-24 at 10.19.50 PM.png
 
Mchizi ana madini, fokea sana bodaboda, vikoba, Mji wa Tanga ngoja tuone leo anaweza akawafokea Simba Sports Club waache ushirikina
 
Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.

Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.

Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.

Wote mnakaribishwa.
"Shemeji yake"ambaye ni mh.Waziri amemkaribisha vyema tu nyumbani.....

Wasafi wamemkaribisha....

Wewe nawe unaanza kufuatilia wasafi baada ya yeye kukaribishwa nao......

Jiandae kufuatilia vipindi vya redio nyingi ambazo umekuwa "ukizipuuza" kwani Lema atazizungukia za nchi nzima kufuatia mwaliko

Tukisema MAMA KAJA
Nawe unasema LEMAAA KAJAAAAA

#SiempreJMT

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
watangazaji wachunge magari tao hapo parking
 
Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.

Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.

Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.

Wote mnakaribishwa.
Wasafi TV kwa sasa wanazungumzia Bangi na madhara yake!! Naona wanajiandaa
 
Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.

Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.

Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.

Wote mnakaribishwa.

Ajitahidi kuongelea vitu practical vinavyogusa wananchi aache kauli za ukakasi.
 
"Shemeji yake"ambaye ni mh.Waziri amemkaribisha vyema tu nyumbani.....

Wasafi wamemkaribisha....

Wewe nawe unaanza kufuatilia wasafi baada ya yeye kukaribishwa nao......

Jiandae kufuatilia vipindi vya redio nyingi ambazo umekuwa "ukizipuuza" kwani Lema atazizungukia za nchi nzima kufuatia mwaliko

Tukisema MAMA KAJA
Nawe unasema LEMAAA KAJAAAAA

#SiempreJMT

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sijaelewa chochote
 
Back
Top Bottom