Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,428
- 222,621
Molemo , hebu wakumbushe viongozi wa kanda hiyo kwamba ni muhimu mno kwa Ugeni kama huo kuuteremsha hadi Kyela , tunaisahau sana kyela .
mkombozi gani? Hao wa kunyofoa watu kucha?
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.

Ki msingi Molemo harakati ambazo watu wa mbeya vijini wameamua kuzifanya zitawashangaza wengi mana vijana wasomi wenye uwelewa wamekuja kusaidiana na vijana na wanachama wote wakongwe wa chadema ndani ya mby v mana chadema hakuna mtu asiye msomi coz ya power of argument waliyo nayo sasa kama wewe uko mbeya vijijini kesho tutasaidiana kuwa update wana jamii kinacho fanyika, mana hata mimi ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo ko wana jamvi kaeni mkao wa kupata newz, HARAKATI ZA KUIOKOA TZ NDANI YA MBEYA ZILIANZIA MBY V NA TUTAHAKIKISHA CCM WANAKAABaada ya kuisambaratisha vibaya CCM kwenye uchaguzi wa udiwani wa kata nne jijini Arusha mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Godbless Lema kesho atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Mbalizi Mbeya vijijini.
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano huo Kissman Mwangomale amesema Lema amealikwa kuwa mgeni rasmi na wanachama wa mjini Mbalizi kwa kuthamini kazi kubwa anayofanya ndani ya Chadema.
Chadema inaongoza vijiji vyote vilivyoko katika kata za Utengule Usongwe na Nsalala zote za mjini Mbalizi.
Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya mahubiri vilivyoko Tazara mjini Mbalizi.
Lema mbali ya kuhutubia mkutano wa hadhara anatarajiwa pia kufungua matawi ya Chadema na kupokea mamia ya wanachama wapya.
Kiongozi huyo wa ngazi ya juu ya Chadema anatarajiwa kusindikizwa na wabunge maarufu wa Kanda hiyo Mchungaji Peter Msigwa,Davidi Silinde na Joseph Mbilinyi anayejulikana kwa jina maarufu la Rais wa Mbeya.
Source:Tanzania Daima.
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
Hiyo ni kazi ya mbowe na sugu ndiyo dili zao.Vp wale wapiga dill za cocaine toka magogoni hadi Hong Kong achilia mbali na ukatibu Mkuu wa Lumumba na Pembe za Ndovu?
Sugu atakuwepo?
Baada ya kuisambaratisha vibaya CCM kwenye uchaguzi wa udiwani wa kata nne jijini Arusha mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Godbless Lema kesho atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Mbalizi Mbeya vijijini.
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano huo Kissman Mwangomale amesema Lema amealikwa kuwa mgeni rasmi na wanachama wa mjini Mbalizi kwa kuthamini kazi kubwa anayofanya ndani ya Chadema.
Chadema inaongoza vijiji vyote vilivyoko katika kata za Utengule Usongwe na Nsalala zote za mjini Mbalizi.
Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya mahubiri vilivyoko Tazara mjini Mbalizi.
Lema mbali ya kuhutubia mkutano wa hadhara anatarajiwa pia kufungua matawi ya Chadema na kupokea mamia ya wanachama wapya.
Kiongozi huyo wa ngazi ya juu ya Chadema anatarajiwa kusindikizwa na wabunge maarufu wa Kanda hiyo Mchungaji Peter Msigwa,Davidi Silinde na Joseph Mbilinyi anayejulikana kwa jina maarufu la Rais wa Mbeya.
Source:Tanzania Daima.
Chadema hakuna mtu asiye msomi eeeeeee!.Ki msingi Molemo harakati ambazo watu wa mbeya vijini wameamua kuzifanya zitawashangaza wengi mana vijana wasomi wenye uwelewa wamekuja kusaidiana na vijana na wanachama wote wakongwe wa chadema ndani ya mby v mana chadema hakuna mtu asiye msomi coz ya power of argument waliyo nayo sasa kama wewe uko mbeya vijijini kesho tutasaidiana kuwa update wana jamii kinacho fanyika, mana hata mimi ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo ko wana jamvi kaeni mkao wa kupata newz, HARAKATI ZA KUIOKOA TZ NDANI YA MBEYA ZILIANZIA MBY V NA TUTAHAKIKISHA CCM WANAKAA
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena kushangilia ushindi kwa kata zenu?
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Mbea wajiandae wanakutwa chizi.
Hiyo ni kazi ya mbowe na sugu ndiyo dili zao.