Ndio maana alishinda Ubunge, Na CCM wakapata kiti kimoja cha Udiwani kati ya 25. Wenye akili timamu wanamuelewa nadhaniUkisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Hebu tuwekee elimu yake hapaNikilinganisha Elimu yake na Hotuba zake kwa kweli anajitahidi kwny Hotuba
Kama kuna watu wa ajabu basis na wewe umo kama unakubali mapungufu ya magu kwanini usikubali mapungufu ya lema pia au una double standard? Wote wana mapungufu sawa na binadamu wengine iweje ukubali ya mmoja aukatae ya mwengineHata mimi ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...kamwe nisingetoa ushirikiano kwa KWA MBUNGE kama LEMA.....
Huyu jamaa ana wagharimu sana WANA ARUSHA MJINI kupitia hizi aina zake za SIASA ZA kipuuzi....zinge mlipa sana kama angezitumia kipindi cha JK lakini si kwa MAGUFULI...Maana MAGUFULI analitumikia hili TAIFA inavyotakiwa ingawa nae ana mapungufu yake ya hapa na hili la MAPUNGUFU si jambo la AJABU maaana BINADAMU tumeumbwa si timilifu
mtukufu wako anajua kuhutubia ,yeye kila mkutano lazima akimbilie kusema nchi inaliwa,kutishia watumishi hana zaid ya hayo,hajui hata kuhutubia,hajawahi kuzungumzia mwenendo wa uchumi wa nchi,mipango ya serikali ,mustakabadhi wa ajiraUkisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Zile hotuba za Pogba ndio zinaendana na PhD yake?Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?
Ulichoandika ni uharo tu, bora hotuba za GL mara billion elfu mia...Ukisikiliza hotuba za Godbless Lema unaona wazi kabisa hotuba zake ziko chini mno ya kiwango.Yaani ni mtu anaokoteza hoja hii,ile haijakamilika karukia kule.Ninachosikia ni mikelele tu ya sauti kubwa.Analazimisha watu wasikilize kwa kuongea kwa sauti kubwa na kelele nyingi lakini zisizokuwa na pointi kabisa.Hivi watu wa Arusha mjini wakienda kumsikiliza huwa wanashangilia nini mbona sioni pointi kwenye hotuba za Lema?