Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
yule bwana ninavyomfahamu na siasa zake za jazba na kukurupuka;siku si nyingi atafanya kituko cha mwaka.mtaniambia.(mimi sio wassira lakini)My Take: Chadema isipokuwa makini umaarufu wake utapungua kutokana na migogoro mingi inayokikumba chama hicho. Mwaka 2015 si mbali jahazi linaonekana kuyumba ukilinganisha na huko nyuma. Wengi wataumia ndani ya chama hicho kwani umaarufu wa mtu unakuwa juu ya chama. Hizi tuhuma dhidi ya Lema hazikijengi chama bali zinakibomoa. Arusha hali si shwari.
mODS SAIDIA KUWEKA WAZI DOCUMENT HII ILI WANAJf WAPATE KUSOMA KWA URAHISI.
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema!
Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili!
Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!
hujasoma na kuelewa ndio maana hujaona uzito wa kashfa hizo.
mama porojo hiyo document unayoisema iko wapi? Na huo mgogoro unaousema ni upi? Wewe umesoma hebu elezea kwa kifupi tukutathmini wewe coz wewe ndiyo mleta mada kuhusu Lema na CDM tuone kama unaijua Arusha vizuri au unaisikia tu
Mama porojo wal ausijali shida ya pro cdm hawataki kabisa kusikia kinyume na yale wanyoyapenda, sasa kosa lako hapa nini? we si umeleta document tu watu wajisomee? iwe ya kweli iwe ya uongo ni wao wanajua! vingapi hapa vinaletwa? agrrr
Asante sana mkuu,hayo ndio majibu yao,sisi wanachadema list yetu ya ushindi iko palepale, apa Arusha tunajua mbunge wetu ni Lema,wala awawezi kutubabaisha kwenye hilo.Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.
Na wewe utaumia sana Chadema ikienda kaburini?Uzushu!!!!!!
Umeona majina ya walioandika na kusaini document hiyo. Tuambie walipeleka malalamiko chadema makao makuu kwa sababu ipi?
Kumtetea Lema kwa sababu ananga'a na kufumbia madhambi yake ni kuipeleka chadema kaburini
tunachotaka,hasa wana Arusha ni kuondoa magamba madarakani,mambo mengine tutakusikiliza baada ya 2015Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
Kwa hiyo unaumia sana kwamba Lema anachafuka kupindukia!Lema ana wajibu wa kujibu hizi tuhuma ni nzito na zinamchafua kupindukia
Na wewe utaumia sana Chadema ikienda kaburini?
Vyama vyote tu vya siasa vinapaswa kujisahihisha na kujikosoa. Lakini si kwa kutumia mapandikizi na mamluki.chadema tujisahihishe na kujikosoa chama kitafika mbali
Kama ni dalili mbaya yaani kati wanachama millioni kadhaa wewe ndiye umeguswa kuliko wengine? Hebu kaa mbele ya kioo ujiangalie sura yako kama inakusuta.Mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanaJf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema Arusha.
vipi veve apana pinduka pinduka kwa hii ongo jakoLema ana wajibu wa kujibu hizi tuhuma ni nzito na zinamchafua kupindukia
tunachotaka,hasa wana Arusha ni kuondoa magamba madarakani,mambo mengine tutakusikiliza baada ya 2015
Wewe nimeshafuatilia threads zako, hata za Kawe kuhusu Mdee na Ubungo kuhusu Mnyika.Tunahitaji upinzani wa kweli nitaumia chadema ikienda kaburini. Vyama vingi ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na vinachochea maendeleo.