Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
793
My Take: Chadema isipokuwa makini umaarufu wake utapungua kutokana na migogoro mingi inayokikumba chama hicho. Mwaka 2015 si mbali jahazi linaonekana kuyumba ukilinganisha na huko nyuma. Wengi wataumia ndani ya chama hicho kwani umaarufu wa mtu unakuwa juu ya chama. Hizi tuhuma dhidi ya Lema hazikijengi chama bali zinakibomoa. Arusha hali si shwari.

attachment.php

attachment.php

Zaidi, angalia attachments chini
 
Attachments

  • barua1.jpg
    barua1.jpg
    142.5 KB · Views: 5,826
  • barua2.jpg
    barua2.jpg
    170.4 KB · Views: 5,820
  • barua3.jpg
    barua3.jpg
    183.5 KB · Views: 1,043
  • barua4.jpg
    barua4.jpg
    177.6 KB · Views: 392
  • barua5.jpg
    barua5.jpg
    198.2 KB · Views: 347
  • barua6.jpg
    barua6.jpg
    192.7 KB · Views: 385
  • barua7.jpg
    barua7.jpg
    178 KB · Views: 425
  • barua8.jpg
    barua8.jpg
    55 KB · Views: 548
  • barua9.jpg
    barua9.jpg
    35.2 KB · Views: 453
My Take: Chadema isipokuwa makini umaarufu wake utapungua kutokana na migogoro mingi inayokikumba chama hicho. Mwaka 2015 si mbali jahazi linaonekana kuyumba ukilinganisha na huko nyuma. Wengi wataumia ndani ya chama hicho kwani umaarufu wa mtu unakuwa juu ya chama. Hizi tuhuma dhidi ya Lema hazikijengi chama bali zinakibomoa. Arusha hali si shwari.
kweli wewe mama Porojo kama jina lako.
 
weka hiyo attached document kwa pdf format, ina size kubwa sana wengine tunatumia mobile
 
Mods,

Msaada sisi wenye simu za mchina tuweze japo kusoma.
 
Mama porojo kawa uji wa porojo nadhani mods wanaona munavyotaka kushusha hadhi ya jamvi sijui kama watakubali jinsi walivyolijenga likakuwa na kuwa chombo cha mwanzo wa habari nchini
 
Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.
 
Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
 
Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.

Mzee usihangaika na "OPERATION CHAO" "MCHAKATO WA VURUGA CDM" Itakufa kimya kimya kama ilivyoanzishwa. Ni vema kujibu kama ulivyojibu; ila jua hizo ni pima maji wanataka kujua kitu fulani.
 
Tuhuma hizi ni nzito, lakini kwa vile mtuhumiwa ni lema basi makao makuu itazipuuzia tu. Poleni sana makamanda wa Arusha...
Masalia @work what a wonderful incidence theory za kusema tutengeneze migogoro waache kuconctrate sasa let them know ,kwamba chadema wako imara kupambana na kila aina ya nzi hata wale wakubwa wa chooni
 
walioandika shutuma hizi ni wastaarabu sana kwa sababu walichoomba ni uchunguzi. Ingawa ni wazi kuwa CHADEMA makao makuu hawatafanya kitu, lakini makamanda wameteleza wajibu wao.
Hata ile helkopta aliyopiga nayo picha Uingereza na kusema imenunuliwa kwa pesa za M4C zilizochangwa dar es salaam mpaka sasa haijafika kwa walengwa!
 
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema!

Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili!

Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!
 
raha ya hii document ingekuwa wazi nimeshindwa kuiweka wazi ili isomeke kwa urahisi.
 
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema!

Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili!

Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!

hujasoma na kuelewa ndio maana hujaona uzito wa kashfa hizo.
 
Back
Top Bottom