Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mkuu ungeweka nyama kidogo, Magufuli ni muuaji Kama alivyokuwa Idd Amin, ameshaua wengi na hataacha kuua mpaka Mungu aingilie kati
Bloody cheap talk.
We nani anataka kukutoa roho? Je unawamini wanasiasa? Kama unawaamini Zitto alifukuzwa cdm kama msaliti na wenzake leo kabadilika nini?Naiona mbegu ya chuki kubwa sana miongoni mwetu. Sitaki kuamini kabisa kama watanzania sasa tunachukiana kiasi hiki . Hivi ni nani ameileta hii chuki?
Mbona zamani watanzania walikuwa na tofauti za kisiasa, lakini hawakuchukiana namna hii . Nini kimetokea Tanzania?
Dunia nzima sasa inatushangaa sisi . Kuna rafiki yangu anaishi Kenya juzi alinipigia simu akaniuliza nini kometokea huko Tanzania? ,mbona mnataka kutoana roho?.
Sitaki kuamini kama sisi ni Watanzania walewale wa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo buku 7 yako umeitendea haki!! Maana leo unamwaga povu bila nukta tokea alfajiri! Nennda dirishani sasa kapokee buku 7 yako!! Imetosha kwa leo,wakikuzingua tuite,tutakutetea tu,sisi tunapenda haki tu!mm tangu sarakasi za lowasa ni fisadi then wakasema sio fisadi na kumpa agombee na kulamba matapishi yao niliichukia siasa kabisa
Kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu!Cdm tokea lini wameanza kumpenda wakati walimfukuza chama kwa kumuita msaliti? Siasa za Bongo sarakasi tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo buku 7 yako umeitendea haki!! Maana leo unamwaga povu bila nukta tokea alfajiri! Nennda dirishani sasa kapokee buku 7 yako!! Imetosha kwa leo,wakikuzingua tuite,tutakutetea tu,sisi tunapenda haki tu!mm tangu sarakasi za lowasa ni fisadi then wakasema sio fisadi na kumpa agombee na kulamba matapishi yao niliichukia siasa kabisa
CHUKI HII KWA KIASI KIKUBWA INALETWA NA GENGE FULANI LA WATU PALE CHADEMA WAKIONGOZWA NA MREMA,LEMA NA MBOWE na hii ndio source kubwa kwa yanayomsibu LISSU LEO HII.....
Oh sasa mbona wakienda sehemu(tawala) nyingine wanasema wanatumika?Kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu!
Hivi wewe unataka kitokee nini ili ukubali kuwa sasa hivi tuna tatizo hapa kwetu . Au unataka yakukute wewe mwenyewe au familia yako ndo ujue iko shida?We nani anataka kukutoa roho? Je unawamini wanasiasa? Kama unawaamini Zitto alifukuzwa cdm kama msaliti na wenzake leo kabadilika nini?
Tusipende kutoa majibu ya jumla jumla kwa tweet za wanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unaulizwa vingine unajibu vingine au ndio Lissu alivyowafundisha kujibu maswali?Unashangaa nini wazungu wakiongea ni Lissu ni mabeberu, wakiongea na serekali ni wadau wa maendeleo! Au umesahau Dr. Slaa alikuwa anaitwa padri mzinzi akiwa cdm, kaenda ccm ni mzalendo!
Tatizo unaulizwa vingine unajibu vingine au ndio Lissu alivyowafundisha kujibu maswali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Persecutions, political repressionsio kama jiwe uadui binafsi anaufanya uadui wa nchi