Mkuu kwani wewe umepata taarifa au?...mimi naona poa tu kwani hata taarifa inatosha tukijadili sana inakua umbea...Mkuu hapa unataka tuchangie au umetupa taarifa tu sisi ? Maana naona umeileta kama mada now what do we need to do ? Tuchangie au tusome na kuacha ni taarifa ? Nishauri hasa mimi .
Yeye ndiye kaijenga akiiua tatizo lako nini nakushauri mmalize kiporo cha RA na Jairo kwanza then muone ni jinsi gani mtakabiliana na ujio wa Lowassa kuliko kukimbilia ya CDM.huyu na mbowe kwa kweli wataiua CHADEMA vyama vya siasa vinatakiwa kuwa a bit moderate
Nimemsikia akichangia hoja Bungeni, Alianza kwa kuwashukuru wanawake wa Tanga kumwezesha kufika Bungeni, kisha nikasikia minong'ono mjengoni, halafu eti anawasifia na kuwapongeza madiwani wa Chadema kwa utovu wa nidhamu walioufanya Arusha, Kisha akakurupuka na kumkandia Waziri kivuri wa Chadema kuhusu hoja aliyowasilisha bungeni kaongea tofauti na njisi ambavyo mapendekezo ya upinzani yalivyokuwa!!! ni aibu kwelikweli sijui kama kweli wanawake wenzake huko mjengoni watamuonaje!. Jambo la kujiuliza amewashukuru wanawake wa Tanga lakini eti haki zake za ubunge ziko Arusha, ni kichekesho kweli.Naona kampa za uso Mbunge mmoja wa Magamba(viti maalum Tanga) hapohapo. Kaomba taarifa na kampa za uso kwa kumwambia ukweli kwamba hamna muafaka wowote uliofikiwa huko Arusha na kama yeye anaota hivyo basi asubirie hivyohivyo na isitoshe yy(huyo mama) anahusika moja kwa moja na mauaji ya Arusha na cha kushangaza yy ni mbunge wa Tanga imekuaje aje Arusha kunifanyia fujo...Message delivered!!
UPDATE:
Naona Magamba(viti maalum) huyu mama anatetea vikali ubunge wa viti maalum na wanawake, na yupo kimipasho zaidi na anatetewa na Mwenyekiti ,Loh
UPDATE:
Yule mama magambaz kasimama tena (taarifa) kasema kama yeye amehusika na mauaji ya Arusha inakuaje mpaka leo anadunda hajachukuliwa hatua na mahakama, so anapinga kwamba yeye hajahusika na mauaji na mwenyekiti atatoa mwongozo baada ya bunge saa 7mchana(1pm). Stay tuned!!
tehetehee..mwenyekiti kalimaliza kishkaji eti jambo lenyewe lipo mahakamani ila ujumbe kaupata huyu chakula ya makamba senior..
Lema hana la kuthibitisha, tatizo viongozi wote wa ccm wanafikiria kwa kutumia uti wa mgongo badala ya ubongo. Lema hakusema chitanda aliua, bali kasema chitanda ni chanzo cha mauaji ya Arusha. Then mama ana kurupuka utadhani mharo, eti angeua kwanini hajashtakiwa. Kimsingi huyu Malaya chitanda ni mbunge wa Tanga, inashangaza anakuja kutuvuruga sie watu wa Arusha. Ni bora kapashwa pumbavu yake!Lema hapo itamtokea puani kwani atatakiwa kulithibitisha hilo ili kurahisisha upelelezi wa mauaji hayo.Je Lema atapita hapo. Yangu macho. nasubiri
huyu na mbowe kwa kweli wataiua chadema vyama vya siasa vinatakiwa kuwa a bit moderate
Lema hapo itamtokea puani kwani atatakiwa kulithibitisha hilo ili kurahisisha upelelezi wa mauaji hayo.
Je Lema atapita hapo.
Yangu macho. nasubiri
Lema hapo itamtokea puani kwani atatakiwa kulithibitisha hilo ili kurahisisha upelelezi wa mauaji hayo.
Je Lema atapita hapo.
Yangu macho. nasubiri