Mbwiga_Plus
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 163
- 42
Inadaiwa kuwa Lema alitumia lugha ya matusi na ya kudhalilisha wakati wa kampeni, na ushahidi umeonyesha hivyo...dai kuu ni hilokwani Lema kafanyaje??? Jibu kwanza swali hili ili tuweze kuendelea na mjadala,
Baba,Subiri kwanza hukumu itolewe
Tuombe Mungu kaka.Hii ni Suicide kwa CCM
Kaka,Mi Naomba chadema waweke Punda Kama Mgombea na wasipige campaign, Vilaza hao hawapati Jimbo.
Inadaiwa kuwa Lema alitumia lugha ya matusi na ya kudhalilisha wakati wa kampeni, na ushahidi umeonyesha hivyo...dai kuu ni hilo
Nimeongea na watu mbalimbali, wakiwemo wanasheria waliobobea, wamehakikisha kuwa ifikapo tarehe 05.04.2012 Ubunge wa Godbless Lema utatenguliwa rasmi, kutokana na mapungufu ya kisheria yanayoukabili upande wa utetezi.
Kutokana na hilo, hali ya usalama ya Arusha huenda ikaingia katika changamoto mpya na majaribu, kutokana na upenzi wa wanacdm juu ya Mbunge wao anayeelekea kung'olewa.
Kufuatia tukio hilohilo, mkuu wa usalama wa Taifa ametua rasmi jana mkoani Arusha, ili kupanga mikakati na kushauriana na maafisa wengine, waangalie jinsi ya kukabiliana na hali hiyo.
Wanajamvi,
-Nini itakuwa hatima ya Lema?..Je kisheria ataruhusiwa kugombea tena?
-Unaisemeaje nafasi ya Lema, ana uwezekano wa kushinda iwapo atarejeshwa kugombea?
Nawasilisha.
Baba,
Hukumu ya Lema imepata shinikizo kubwa sana kutoka kwa watu mbalimbali!
Kuna shinikizo toka kwa EL, serikali(kumbuka skendo bungeni ya Pinda na uwongo) na Bunge lenyewe, kuanzia spika na watu wa ccm.
Tuseme kwa vile ni sheria za serikali tu, lakini ingewezekana kuzuia hizi chaguzi, hakika marudio ya Arusha ni kupoteza muda!../actually ni kuitengenezea mazingira mazuri sana cdm na kuitangaza zaidi jina....