@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!
Aaahhh kamanda dadavua kidogoHiyo ni cha mtoto! Piga kimya kidogo yatatokea makubwa
zaidi!
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha magadini amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Kama mdau mkubwa sana wa CHADEMA mkoani Arusha napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha sana Chadema kamanda kutoka ccm na kukupongeza sana kamanda mpambanaji jembe la ukweli mh sana Godless Lema kwa harakati zako za ukombozi wa Taifa langu zuri Tanzania.
Kuna madiwani kama watano hivi kutoka Monduli watajiunga chadema, tunasubiri materials kutoka makao makuu zoezi likamilike.
@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!
Mkuu jana niliona ukiagiza kadi 2000 zije kutoka headquarter naamini hazitoshi ziwe nyingi zaidi.
Pj mmeshaanza ubaguzi wa vikaoe?
Acheni hizo bana
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha magadini amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Kama mdau mkubwa sana wa CHADEMA mkoani Arusha napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha sana Chadema kamanda kutoka ccm na kukupongeza sana kamanda mpambanaji jembe la ukweli mh sana Godless Lema kwa harakati zako za ukombozi wa Taifa langu zuri Tanzania.
umeonaee!?
Mkuu Gwallo heshima kwako,
kweli upo makini.
Kwa taarifa za leo asubuhi zinahitajika si chini ya kadi 25,000.
Kuna flow kubwa ya watu wanaotaka kujiunga na chama.
Mwenyekiti wangu Nanyaro yupo so busy, kila baada ya sekunde tano wageni wanaongezeka.
Gwallo tutafutane gwargwe na mie homboy mwenzako.
karibu Bw. kombe
Umechemka Mkuu. Bashiri tena
obvsly ndo wewe,...vp k/mwenezi